Ufanye nini kama una pepo mahaba? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ufanye nini kama una pepo mahaba?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Felixonfellix, Oct 6, 2011.

 1. Felixonfellix

  Felixonfellix JF-Expert Member

  #1
  Oct 6, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 1,680
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mpendwa msomaji hizi ni dalili kadhaa ktk nyingi kama unaona hapo iko sehemu inakugusa tafuta mahala penye huduma ya kufunguliwa upone, haya mapepo machafu yana leta hata kukufanya uwe unaishiwa kila mara hata ungekuwa na pesa ya kutosha wewe mda mchache huna kitu, amani katika ndoa ni ndogo sana ni hekaheka tu!na kama kuoa au kuolewa kuna zuiwa na haya niliyo kupa mbinu jinasue ktk jina la Yesu !Njia kubwa ni umpe Yesu maisha yako. Na usiogope hata wewe ambaye ulisha mpa Yesu maisha yako kama una dalili hizi nenda kafunguliwe sio dhambi kufunguliwa uweze kuoa / kuolewa. Na uliyeko katika ndoa ikiwa na mambo ya jinsi hii hauko salama hata kidogo kafunguliwe uweze kufurahia ndoa yako katika Jina la Yesu.
   
 2. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #2
  Oct 6, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Injili nzuri,....anyway nimefaidi kidogo maake j2 iliyopita sikwenda church....amen
   
 3. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #3
  Oct 6, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  amein!!!
   
Loading...