Itakuweje ukimkuta mwanao kapiga goti anaomba,.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Itakuweje ukimkuta mwanao kapiga goti anaomba,..

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kisoda2, Dec 3, 2009.

 1. Kisoda2

  Kisoda2 JF-Expert Member

  #1
  Dec 3, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 1,240
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Kama mzazi unapomkuta mwanao katulia huku kapiga magoti na kufumba macho akiomba kama ifuatavyo;

  "Dear God, this winter please send clothes to all those poor naked ladies in Daddy's Cellphone,
  Amen."


   
 2. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #2
  Dec 3, 2009
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Huyu ni mtoto wa kizungu lazima so ainihusu.
   
 3. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #3
  Dec 3, 2009
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,660
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160

  Hakuna ujanja ni kukimbilia simu na kufuta picha zote, ili atakapotembelea tena kwenye folder akute peupe-shenzi zake!
   
 4. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #4
  Dec 3, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  kweli huyu sio wa kibongo duh
   
 5. Kisoda2

  Kisoda2 JF-Expert Member

  #5
  Dec 4, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 1,240
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Usiseme huyo ni wakizungu,wakati mnawapeleka pale st.mamayetu kwenye kiinglish school.
   
 6. Kisoda2

  Kisoda2 JF-Expert Member

  #6
  Dec 4, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 1,240
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  FL!1 umeniangusha hapo kwa tafsiri yako ya hara haraka.
  na yule ulompeleka kwenye shule za kiinglishi akija nyumbani anakuwa mzungu???
   
 7. Kisoda2

  Kisoda2 JF-Expert Member

  #7
  Dec 4, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 1,240
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  bravo KK, nimekugongea thenksi kwa mbaaali.
   
 8. GP

  GP JF-Expert Member

  #8
  Dec 4, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135

  u made ma day!!.
  but hii ishu kwa ujumla imekaa kijoke-joke.
   
 9. P

  Preacher JF-Expert Member

  #9
  Dec 4, 2009
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 328
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kama bado dhamira yako ya kujutia mabaya inafanya kazi (yaani hujawa sugu) unafuta picha chafu zote, halafu UNAAMUA KUBADILIKA JUMLA - UNAACHANA NA MAMBO HAYO YASIYO NA FAIDA -

  UNAANZA KWA KUPIGA MAGOTI NAWEWE KUOMBA MUNGU AKUSAMEHE KWA PICHA CHAFU KWENYE SIMU, PIA KUMPA CONCERN KUBWA MTOTO WAKO

  UNAMSHUKURU MUNGU KWA KUKUPA MTOTO MWENYE HURUMA, MKARIMU NA MWOMBAJI
   
 10. Kisoda2

  Kisoda2 JF-Expert Member

  #10
  Dec 4, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 1,240
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Amen,

  nimekugongea thenksi mkuu.
   
 11. Absolute

  Absolute JF-Expert Member

  #11
  Dec 4, 2009
  Joined: Jan 19, 2007
  Messages: 335
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Duh
  Ebwanaeeeeeeeeeeh... hilo libeneke halitaamulika, hiyo kesi ni nzito kuliko mnavyodhania.

  Kwakweli sijui ntafanyaje na ntasemaje na ntafikiriaje... ila naomba GOD aepushe kabisa.
   
 12. Mwana va Mutwa

  Mwana va Mutwa JF-Expert Member

  #12
  Dec 5, 2009
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 429
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  unafuta zile chafu za mabinti afu unatafuta nyingine za waliovaa nguo afu unaiweka simu peupe ili azikute na ajue God huwa anajibu maombi
   
Loading...