Usafi kipindi cha hedhi yepi mnayokutana nayo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Usafi kipindi cha hedhi yepi mnayokutana nayo

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by NgomaNzito, Dec 4, 2009.

 1. NgomaNzito

  NgomaNzito JF-Expert Member

  #1
  Dec 4, 2009
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 561
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kipindi cha hedhi wakina mama wengi hutumia njia mbalimbali kujisafi wengine hutumia pedi wengine vipande vya kanga na wengine maji tu yatosha.
  Lakini baada ya kutumia vifaa hivyo namna ya kuvitunza kwa ajili ya kwenda kuvitupa mara nyingi utakuta pedi zimezagaa kila mahali.
  Mie jambo hili linanikera mno utakuta wakati mwingine pedi zilizotumia zimetupwa hovyo
  Je wewe ushakumbana na hii adha??
   
 2. bht

  bht JF-Expert Member

  #2
  Dec 4, 2009
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  hilo tatizo la mkeo baba pole!!! usafi tabia ya mtu, huyo wako mchafu tu sasa angetumia vitambaa si angepata fungus
   
 3. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #3
  Dec 4, 2009
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Kuhusu hili, sijui tutakusaidiaje, kama bht alivyosema usafi ni kasumba ya mtu. hainiingi akilini mtu kakaa na pedi used kwa week mbili. haya ni matatizo ya mkeo.
   
 4. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #4
  Dec 4, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0

  huyo wako kiboko loo, wiki 2 uvundike madamu? sorry mkeo anahitaji elimu juu ya usafi wake kiujumla hajitambui.....
   
 5. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #5
  Dec 4, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  mmmmh huyo ana uchafu uliokisiri ... kuna watu utadhani huwa hiyo hali haitokei msafi 24 hours a day x 364
  habari ndo hiyo ukiwa mchafu utakimbiwa
   
 6. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #6
  Dec 4, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  nyamayao labda kakosea badala ya siku mbili loh sipati picha a day tu hiyo harufu si balaa pole ngomanzito.
   
 7. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #7
  Dec 4, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hapo pa red sijaelewa vizuri unatakasema anayetumia pedi au khanga hatumii maji? au mie ndo kiswahili hakipandi?
   
 8. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #8
  Dec 4, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0

  mami labda atuambie kama kakosea lakini vinginevyo huyu mwanamke uchafu wake upo kwenye damu....kha.
   
 9. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #9
  Dec 4, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,050
  Likes Received: 23,820
  Trophy Points: 280
  Hiyo red: Umeamua kutuanikia uchafu wa mkeo? Inawezekana hata m.avi ushalishwa wewe. Pole!
  Hiyo blue: Watake radhi wanawake wasafi akiwamo wife wangu na wapwa na mabinamu zangu. Haiwezekani uwalinganishe na mke wako mchafu. Ptuuu! Kama mkeo mchafu mtimue!
  Hiyo bold: Sijawahi kukumbana na adha hiyo kwa kuwa mke wangu ni msafi sana! Kalaghabaho!

  Omba radhi wanawake wewe!
   
 10. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #10
  Dec 4, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  he he he he!amesahau kwamba mama ake ni mwanamke!WTF
   
 11. NgomaNzito

  NgomaNzito JF-Expert Member

  #11
  Dec 4, 2009
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 561
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Siombi radhi kwani we hujakutana na mapedi yamezagaa mtaani
   
 12. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #12
  Dec 4, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  nakushauri uombe radhi!.....adhawaisi utachezea ban
   
 13. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #13
  Dec 4, 2009
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  hii njemba haikufikiri kabla kuandika. haki yake kurembewa mawe na hawa kinamama wenye msimamo mkali. funguliaa mbwa!!! deh deh deh . jf rahaa bana. nimejiunga juzi tu nshaanza kunenepa. waif pleaz nipatie juice ya kahawa (sauti nyembamba kutoka chumbani inajibu, nakuletea sweety!!) .
   
 14. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #14
  Dec 4, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,050
  Likes Received: 23,820
  Trophy Points: 280
  Kama mkeo ameyatupa barabarani ntaachaje kukutana nayo? Mwambie mkeo aache tabia mbaya! Omba radhi kwa sababu umewajenerolaizi wanawake wote. Umesahau kuna wanawake wasafi kama mke wangu, dada yangu, mama yangu na wapwa na mabinamu zangu.

  Kwa mara ya pili OMBA RADHI! Kalaghabaho! Am counting 8....7....6....
   
 15. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #15
  Dec 4, 2009
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,920
  Likes Received: 2,069
  Trophy Points: 280
  Hapa hakuna isssue cha msing awe safi.

  Nadhani hapa kuna tatizo genuine hasa sehemu za public kama hostel au mabweni ya wasichana. Kuna jamaa mmoja SUA aliwahi kufanya utafiti juu ya hili tatizo, kama yumo humu anaweza kusaidia kudisseminate matokeo ya utafiti wake.

  Nakushauri uondoe au uedit sehemu hii kwenye post yako. Haijakaa vizuri!

  Zaidi ya kukutana nalo niliopokuwa shuleni/chuoni, sijaliona katika ngazi za kifamilia kama ni tatizo. Wengi wanajitahidi sana hata huwezi kujua kama yupo kwenye siku zake!
   
 16. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #16
  Dec 4, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  kijana amekimbia thread yake!...............
   
 17. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #17
  Dec 4, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,050
  Likes Received: 23,820
  Trophy Points: 280
  Hahahaha! Pambaf kabisa yule! Nilikuwa nataka nizae naye! Hawezi kututukania mama zetu afu tumwache hivihivi! Thanks bwashee, tulikuwa sambamba, huwa hatushindwagi! LOL!
   
 18. bht

  bht JF-Expert Member

  #18
  Dec 4, 2009
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160

  mpwaaaaaaaaaaaaa uwiiiiiiiii!!!! LOL!!!

  WAPWA zako sie wasafiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii hizo itakuwa za huyo bi mmchafu wake!!!

  na hiyo radhi kw ataarifa yake inaweza kubaunsi ujue sasa maan analeta kibri
   
 19. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #19
  Dec 4, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,050
  Likes Received: 23,820
  Trophy Points: 280
  Am still counting 5....4.... Akichelewa namwambia mpwa geoff ampe pamanenti bani! Shwaini!
   
 20. bht

  bht JF-Expert Member

  #20
  Dec 4, 2009
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  hajawasomaga huyu inaelekea!!!
   
Loading...