Ningewapa kidonge chao hiki! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ningewapa kidonge chao hiki!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Dec 8, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Dec 8, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,499
  Likes Received: 5,725
  Trophy Points: 280
  Ningewapa kidonge chao hiki!

  [​IMG] Je, ni kitu gani ambacho ungekibadilisha kuhusu wanawake wa leo au kama kungekuwa na dawa ungewapa dawa gani kutibu ugonjwa gani kwa wanawake wa leo?

  Ningeaandaa matibabu kwa wanawake wote duniani bila kujali yupo Amerika, Ulaya, Asia, Australia au Africa.

  Hayo matibabu ni ya kumpa kila mwanamke dose ya afya ya kujiamini (self esteem) na kujisikia anastahili vile alivyo (personal worth) ambayo wangetumia kila siku hadi dalili zote zipotee kwani hili ndilo hitaji kuu la wanawake wengi leo duniani.
  Weusi wanatamani wawe weupe, wengie nyewele fupi wanatamani wawe na nywele ndefu, wafupi wanataka wawe warefu, wanene wanataka kuwa wembamba na wembamba wanataka kuwa wanene.

  Mama wa nyumbani anataka kuwa mama wa ofisini na kila mwanamke ambaye ni wa nyumbani anajuta na kujiona hana maana hata kama mume wake au wote kwa pamoja na pato kubwa kuliko wanavyoweza kutumia.

  Kama wanawake watakuwa respected katika roles zao katika jamii kama mke na mama wasingekuwa wanachukia kuwa mama au mke wa nyumbani au jukumu la kuwa mama na mke.
  Kama wanawake wangejisikia wapo sawa na wanaume katika personal worth basi wasingetafuta usawa wa responsibilities kwa wanaume.

  Kumbuka sijakataa mwanamke kuwa ofisini au mwanamke kufanya kazi ambazo wanaume wanafanya bali nazungumzia mwanamke kujiamini na kujiona kama alivyo ndivyo anafaa kuwa na si kutamani kuwa kama fulani au mwanamke m
   
Loading...