Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.9K
Posts
231.4K
Threads
7.9K
Posts
231.4K
naomba mnisaidie mawazo ndugu zangu. niliwahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na binti mmoja wa kichaga, nilipokuwa chuo mwaka wa pili yeye alikuwa ndo alijiunga mwaka wa kwanza ila mahusiano yetu...
0 Reactions
96 Replies
10K Views
Hi wana JF..nimekua nikisikia kuwa mtu na binamu yake wanaweza kumegana kama kawaida, hivi is it true? Then kuna binamu ananisumbua kweli and am sure nikimega tu my family wil know coz she's realy...
0 Reactions
53 Replies
9K Views
Tumeona Tiger Woods na vimada wake.Jee hii ni Sex Addiction?Ni ugonjwa?Maana najaribu kufikiria mtu wa hadhi yake kwa nini afanye mambo haya?Hakujua kuwa kwamba atagundulika?Angekuwa bachelor...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwanza kabisa sifa moja kuu ya msomaji habari ni pamoja kuwa na uwezo wa kuichambua na kuielewa habari husika Basi ndugu zangu wa JF siku ya jana nilipata bahati ya kupitia habari moja kutoka...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nina boyfriend ambae sasa tumeanza mwaka wa pili kwenye mahusiano yetu na katika haya mahusiano kutokana na huyo jamaa kuwa ni mkorofi, mtemi na anayeamua mambo yake mimi kumsikiliza tu sitakiwi...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Bora mama huyu aanze mbele , mtu kula uroda kwa a porn star tena bila condom , kuna umuhimu gani wa kuishi naye? kawaida mtu akiwa hatumii condom hatotumia tuu na kama alicheat ata cheat tuu ,sawa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Woman has 200 orgasms a day. Sarah, 24, suffers from Permanent Sexual Arousal Syndrome PRETTY Sarah Carmen is a 200-a-day orgasm girl who gets good, good, GOOD vibrations from almost anything
0 Reactions
21 Replies
4K Views
nilizaa na binti mmoja miaka kumi iliyopita, hatukuoana na wala hatukuwahi kuishi pamoja, hali ya maisha ilinilazimu kumuomba huyu binti mtoto nimlee na alinikubalia, niliishi na mtoto hadi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Waungwana, Kuna mwanaume mmoja aliyefanikiwa kimaisha kwa kiasi cha kuridhisha, alinisimulia kisa chake kikanisikitisha sana. Alipokuwa anatafuta mchumba wa kuoa, bila kutarajia alipata maradhi...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wandugu habari Najua VC alishawahi kulileta hili hapa ila naomba tuliangalie kwa jicho lingine!! Nimelikuta kwenye mjadala mmoja huko ........eti kwenye kitcheni parties mwanamwali...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Drunks who force themselves on wives or girlfriends should face 'sex breathalyser' and rape charge, says government adviser Last updated at 9:51 PM on 14th December 2009 Drunk men who...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
A LANDMARK legal ruling in a which a sperm donor has secured access to his son is unlikely to lead to increased rights for unmarried fathers, according to legal experts. Yesterday the Supreme...
0 Reactions
0 Replies
981 Views
In a couple, it is natural for the intensity of the passion to go down after several decades of marriage, but when that happens just after a few years of marriage, it maybe problematic. Here are...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Na Imelda Mtema Mbunge wa Same Mashariki (CCM), Anne Kilango Malecela ameamua kufunua ya ndani kuhusu maisha yake, kuanzia biashara, siasa, kazi, mapenzi, ndoa na familia kwa jumla... Gazeti...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
wapendwa kuna mwanamume mmoja mume wa mtu, alikuja kwangu kutafuta ushauri juu ya ndoa yake iliyokuwa na matatizo. katika mazungumzo yetu, alidokeza kuwa kila msichana aliyetokea kumpenda...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Nilikuwa natafuta takwimu za kitu flani, neno takwimu likanipeleka mpaka hapa Pornography Time Statistics Every second - $3,075.64 is being spent on...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mwaka 2009 ndo unaishia hebu kaa chini utafakari nini umeachieve katika idara hii ya mahusiano: 1. Umemfanyia nini mpenzi/mke/mume/nyumba ndogo/serengeti/buzi lako ambacho unawezaita ni...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
http://swahilitime.blogspot.com/2009/04/mume-atalakiwa.html
0 Reactions
58 Replies
8K Views
Wakuu naomba nifahamisheni mazuri na mabaya ya kuoa mwanamke aliyezaa, kuna mwanamke naona tunaendana kila kitu sema yeye tayari ana uzao
0 Reactions
89 Replies
14K Views
........Kama swali linavyojieleza hapo juu, hivi mwanaume aliyekuwa kwenye uhusiano haswa kwa wale wanandoa anahitaji nini toka kwa mke wake? Najua kuna vitu kama upendo, heshima na usafi hivyo...
0 Reactions
28 Replies
6K Views
Back
Top Bottom