Rafiki kutambulishwa kwa mke/mume/mchumba? IS IT REASONABLE? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rafiki kutambulishwa kwa mke/mume/mchumba? IS IT REASONABLE?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Asprin, Dec 2, 2009.

 1. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #1
  Dec 2, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,034
  Likes Received: 23,789
  Trophy Points: 280
  Eti Jamani:
  Kwa wale wenye mahusiano ya dhati ya kimapenzi. Wenye ndoa zao na wachumba ambao wanatarajia kuingia kwenye ndoa. Au basi ma-boy/girl friends wenye mahusiano ya kingono.

  Inawezekana mtu ukawa na rafiki wa jinsia tofauti. Urafiki kwa maana ya urafiki usiohusiana na mambo ya ngono. Mnapiga stori, mnabadilishana mawazo, mnashauriana mambo mengi, mnasaidiana kwa mambo mbalimbali na vitu kama hivyo (Carmel unalielewa hili, japokuwa urafiki wako ulivuka mipaka ukaibua ndoa.)

  Je ni sahihi rafiki kama huyu kumtambulisha kwa mumeo/mkeo/mchumba? Yaani Carmel amtambulishe Geoff kwa mume wake kuwa huyu ni rafiki yangu. Au Fidel80 amtambulishe nyamayao kwa mkewe kuwa huyu ni rafiki yangu?

  Nina rafiki yangu wa kike nataka nimtambulishe kwa wife, nahofia nisije nikazua msala.

  CAN YOU? IS IT REASONABLE?
   
 2. c

  compressor Member

  #2
  Dec 2, 2009
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inawezekana lakini ni hatari saaana
   
 3. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #3
  Dec 2, 2009
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Naomba ruhusa nichangie hoja.Lakini usiponiruhusu mie sina tatizo
   
 4. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #4
  Dec 2, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,034
  Likes Received: 23,789
  Trophy Points: 280
  Hatari gani wakati ni urafiki wa kawaida tu? Namleta nyumbani wife anampikia chai, wanapiga stori kama kawaida. Kuna hatari gani hapo?
   
 5. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #5
  Dec 2, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,034
  Likes Received: 23,789
  Trophy Points: 280
  Karibu mchumba. Nataka nikutambulishe kwa rafiki yangu mmoja hivi.
   
 6. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #6
  Dec 2, 2009
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Hey compressor! mambo vp? hujambo lakini?
   
 7. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #7
  Dec 2, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Mkuu achana na hiyo habari. Unless huyo wife wako kweli una uhakika si mtu zogo. Kwetu waswahili wengi hawaamini kama kunaweza kuwepo urafiki kama urafiki kati ya mwanamke na mwanaume so be careful unaweza kujilaumu baadae.
   
 8. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #8
  Dec 2, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,034
  Likes Received: 23,789
  Trophy Points: 280
  Hivi thread inasemaje vile?
   
 9. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #9
  Dec 2, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  inategemea wewe na mwenzio mnaishi namna gani
  kama mnaaminiana kumtambulisha rafiki sioni kama kuna tatizo mana urafiki sio lazima iwe jinsia moja tu
  lakini kama trust ni kitendawili katika mahusiano thubutu yake
   
 10. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #10
  Dec 2, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,034
  Likes Received: 23,789
  Trophy Points: 280
  Sasa siku moja akitukuta tuko mkahawani tunapata chai na sambusa, wife si atajua nimekamata nyumba ndogo? Ipi hatari zaidi?
   
 11. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #11
  Dec 2, 2009
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mkuu inawezekana ila tatizo linakuja pale utapozidisha ukaribu yaani namaana kuwa wewe unaweza kua nyumbani na mkeo na mimi nikakupigia simu kua asee tukutane hapa zero pub nnamazungumzo....mkeo atakuruhusu....ila inapokuja opposite sex inakua ngumu sana kuamini ni urafiki tu wa kawaida!! hata mimi mamsapo kila siku anambia nipo na Xpini lazima niweke doubt hapo!!
   
 12. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #12
  Dec 2, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,034
  Likes Received: 23,789
  Trophy Points: 280
  Kama trust ni kitendawili, itakuwaje akinikuta naye zero pub napata naye mvinyo huku tukibadilishana mawazo. Si atajua tumetokea gesti kabisa? Si heri niokoe jahazi mapema kwa kumtambulisha no matter what?
   
 13. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #13
  Dec 2, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  hahaha wivu jamani mbaya ...compressor kaingia na upepo mkali sana
   
 14. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #14
  Dec 2, 2009
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Lakini wewe nakuamini.Mlete tu mie sina shida.Nawapenda wageni na marafiki wetu.ila sharti moja,aje na mumewe.
   
 15. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #15
  Dec 2, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  ndo nakwambia kama hakuna kuaminiana katika mahusiano yenu yote hayo yanaweza kutokea ..
  wengine vicheche
   
 16. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #16
  Dec 2, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ..ZD, urafiki wa mashaka??
   
 17. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #17
  Dec 2, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,034
  Likes Received: 23,789
  Trophy Points: 280
  Hahaha! Hapo mkuu umenivunja mbavu. Lakini mimi ni mwaminifu kwa mashemeji. Labda kama angekuwa Fidel. Sasa asipokuambia afu siku ukamkuta na fidel chawote bar wanakunywa mvinyo then akakuintrodyuzi huyu ni rafiki yangu itakuwaje. Si heri angekuambia mapema ujue moja?
   
 18. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #18
  Dec 2, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,034
  Likes Received: 23,789
  Trophy Points: 280
  Kama hajaolewa?
   
 19. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #19
  Dec 2, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  kwenye anivesari yenu nakuja alone hahaha ....
   
 20. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #20
  Dec 2, 2009
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Jamani kwa uzoefu wangu mdogo, hakuna urafiki wa kawaida wa watu wa jinsia 2 wa jinsi hii,hasa kwa wenye ndoa.Ni hatari na hakuna mwanamke au mwanaume yeyote anayeweza kuamini hili.Ni wachache saaaaaaaaaana kama sio sifuri.
   
Loading...