katika mipangilio ya maisha mnaamua wewe na mwenzio kutumia kondom, baada ya kujaribu hizi na zile mnakuta brand inayowavutia zaidi kwenye tendo, kuondoa usumbufu unaamua kununua box zima ambalo ndani yake kuna paketi ndogo ndogo za tatu tatu na ziko kama 50 hivi!kwa sababu moja au nyingine inafika wakati mnakinai/mnapata njia mbadala ya kupanga uzazi, hivyo mnaachana na kondom, siku zinasonga na maisha yanakwenda kama kawaida, baada ya muda katika kupanga panga chumbani kwenu unalikuta lile box la kondom, kulifungua unakuta zimepungua mno tofauti na wakati mnaacha kuzitumia,....watoto wako ni wadogo na chumbani kwenu ni wewe tu na mwenzio mna funguo!...utashukuru kuwa mwenzio anajali na anatumia kinga au hasira ya mwenzio kumegwa/kumega nje au au auuu.................