Kumega na kumegwa kuna madhara gani wakati wa kuoana? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumega na kumegwa kuna madhara gani wakati wa kuoana?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pape, Dec 6, 2009.

 1. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #1
  Dec 6, 2009
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  wana JF,

  Wadau mbalimbali wanasema kwamba wanaume walio wengi wanakuwa ni wagumu tena hawapendi kufunga ndoa na wanawake waliomegwa na rafiki zao (rafiki ya mwanamume)...

  Lakini kwa upande wa wanawake waliowengi hawanakasumba hii ya (kuogopa/kuhofia/wivu) kutofunga ndoa na mwanamume aliyewahi kumega rafiki yake (rafiki wa kike wa muolewaji). Wanawake tena wanaona sawa kwani kama walimegana ni zamani.

  Kwanini wanaume wanakinyongo aaagh 'mi siwezi' kufunga nae ndoa kwani alishawahi kumegwa na 'fulani' ambaye ni rafiki yangu....

  Kunani? Je, wanaume ndivyo walivyo? Nini kinasababisha hali hiyo?

  Nawasilisha hoja!
   
 2. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #2
  Dec 6, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Mkuu kama jamaa 'ako wa karibu alishawahi kummega wife ni dhahiri kuwa atakuwa na dharau flani kwako, mkiwa na huyo rafiki yako mahali pamoja na wife utajisikia komfotabo kweli?
   
 3. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #3
  Dec 6, 2009
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  ukiwa km mwanaume rijali sidhani km utajiuliza mara mbili, ukioa, mwanaume heshima yako kubwa inategemea sana na tabia ya mkeo, km mkeo alishawahi megwa na friend wako wa karibu hadhi yako mbele za wanaume wenzio itakuwa ndogo sana. amini usiamini mwanamme anaweza akawa na wanawake hata wanne nje ya ndoa lkn akisikia yule mke wake kamegwa na mtu, kweli hapatakalika talaka lazima itolewe, kwa mwanamme lile tunda ukioa lapaswa kuwa lako na si mtu mwingine sasa wewe unataka oa mwanamke ambaye rafiki yako anamjua kila kitu, alilimega akalitwaa wakapeana kishkaji wakisema tutwae tule wote, hili tunda la kati tulile nje ya ndoa hahaa jamani mimi ndo maana sitaki kumega nje ya ndoa
   
 4. F

  Future Bishop Member

  #4
  Dec 6, 2009
  Joined: Dec 4, 2009
  Messages: 75
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  JP Kwangu hii ndiyo ilikuwa/na mpaka sasa ndiyo sababu ya kukataa kumega msichana yeyote au mke wa mtu awaye yeyote. Moyoni niliazimia kwamba sitaki

  1. Kulinganisha mapenzi atakayonipa msichana/mwanamke yeyote na yale atakayonipa/anayonipa mke wangu

  2. Awepo msichana yeyote/mwanamke yeyote ambaye atajidai kuwa aliwahi kulala na mimi zaidi ya mke wangu.

  JP ninashauri kwamba isiwe tu ni kwa njisia fulani bali ambaye hajaoa au kuolewa asimege au kumegwa mpaka siku ya kufunga ndoa.

  Aliyeoa au kuolewa asimege au kumegwa nje ya ndoa. NAKUHAKIKISHIA INAWEZAKANA ni suala la kuweka nidhamu katika jambo hili. Na kwa kufanya hivi utaifurahia ndoa yako kwani inakuwa kama PARADISO. Kumega au kutokumegwa siyo kama chakula ambacho ukikosa unakufa, kinachotakiiwa ni kuvumilia na kusubiri muda wake muafaka na kwa mwenzi wako wa maisha.

  Nawasilisha
   
 5. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #5
  Dec 6, 2009
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,218
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  nimekugongea thanks hapo kwenye red mkuu,siwezi kuoa mke ambaye alishawahi kumegwa na friend,duuuh noma ukiwa nae washikaji watasema mmmmmh hamna kitu pale watu tumeshagalagaza,
   
 6. Injinia

  Injinia JF-Expert Member

  #6
  Dec 6, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 850
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  JP, kwanza tuweke jambo fulani sawa. Je, katika mahusiano anaemegwa ni mwanaume au mwanamke? Mi nadhani ni mwanaume. Think about it. Whose part of the body disappears into the other's?

  Let's just give women the upper hand on this one. Wao ndio wanaomega!
   
 7. Che Guevara

  Che Guevara JF-Expert Member

  #7
  Dec 6, 2009
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 1,178
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  From personal experience, ni rahisi zaidi kwa jamaa (mwanaume) kummega mke wa mtu kama aliwahi kummega zamani (kabla huyo mwanamke hajaolewa).

  Kwa hiyo mshkaji wako aliyewahi kujivinjari na demu ambaye sasa ni wife wako anaweza "kukumbushia" ikawa taaabu.....
   
 8. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #8
  Dec 7, 2009
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  lol, bora niwe makini eeh
   
 9. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #9
  Dec 7, 2009
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  hahahaha umemaliza kila ki2 hapa limao
   
 10. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #10
  Dec 7, 2009
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  eti washagalagaza, lol
   
 11. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #11
  Dec 7, 2009
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  m/ume ndio anamega na m/mke anamegwa!
   
 12. Mopao Josee

  Mopao Josee JF-Expert Member

  #12
  Dec 7, 2009
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Nimekungea thanks kama kweli uliweza vumilia....lol..
   
Loading...