Tueleweshe kama unaelewa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tueleweshe kama unaelewa.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Genderi, Mar 24, 2012.

 1. Genderi

  Genderi Senior Member

  #1
  Mar 24, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna mchezo nasikia unaitwa streeppoker unachezwa vipi?
   
 2. l

  london1 JF-Expert Member

  #2
  Mar 24, 2012
  Joined: Aug 16, 2011
  Messages: 215
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 60
  Nahisi unamaanisha, strip-poker.huu ni mchezo wa karata kawaida huwa kama kamali ukishindwa umeliwa,lakini hii 'strip poker' baada ya kupoteza pesa unapoteza viwalo,kila round unayoshindwa inabidi uvue nguo unaanzia shati, unaweza ukjikuta umebaki na chupi au uchi kabisa.mara nyingi huchezwa marafiki au watu wanaojuana sana au ambao wanataka kunyegeshana!
   
Loading...