baba na mtoto wa kufikia

mkudeson

Senior Member
Nov 24, 2011
104
16
mtaani kwetu kuna jibaba linatembea na mtoto wake (binti yake) wa kufikia (kambo). Mama mtu ameenda kushitaki kwa mwenyekiti wa mtaa kuwa mumewe amemdhalilisha. Naleta kwenu wanaJF kwa ushauri na mawazo maana kesi ni Jpili ya kesho kutwa na mimi ni mmoja wa wanabaraza. Ingekuwa wewe ungeiamuaje hiyo kesi???
 
njemba imekula bi mdashi inaonja na mwana pia! huyo mama adai talaka tu kama vipi..binti nae atakuwa na tatizo kichwani ...nyama ngumu kwa matumizi ya mama yake naye atumie!? sh@**t!
 
Kisheria Fumanizi ni kwa ushahidi wa moja kwa moja, kama upo hilo linaweza wekwa mezani

Pili Umri wa Binti ukiwa chini ya 18 na ikathibitika Mzee anajivinjari

msije anzisha hiyo kesi kumbe hakuna uthibitisho, itawagharim
 
mtaani kwetu kuna jibaba linatembea na mtoto wake (binti yake) wa kufikia (kambo). Mama mtu ameenda kushitaki kwa mwenyekiti wa mtaa kuwa mumewe amemdhalilisha. Naleta kwenu wanaJF kwa ushauri na mawazo maana kesi ni Jpili ya kesho kutwa na mimi ni mmoja wa wanabaraza. Ingekuwa wewe ungeiamuaje hiyo kesi???

Amwache mama mtu kwani amemkosea na amuowe binti kwani ameshamuharibia maisha!
 
Duuh anakula kuku na mayai yake. Huyo atakia nini malumbano bora aachane nae na huyo mtoto awakuwa na laana tu.
 
Wanaume wengine hasa wanalanaa, mtoto wa mkeo si nisawa na mwanao? Ndio mana wanaume wengine wakiacha mke wanachukua watoto wao....
 
mtaani kwetu kuna jibaba linatembea na mtoto wake (binti yake) wa kufikia (kambo). Mama mtu ameenda kushitaki kwa mwenyekiti wa mtaa kuwa mumewe amemdhalilisha. Naleta kwenu wanaJF kwa ushauri na mawazo maana kesi ni Jpili ya kesho kutwa na mimi ni mmoja wa wanabaraza. Ingekuwa wewe ungeiamuaje hiyo kesi???

Ningemtafutia ka bwana size yake mbele ya baba yake.
 
Kama binti ni over 18 basi mama awapishe tu. Kimaadili haija kaa sawa ila huwezi kuwalazimisha watu kufata maadili. Kama yuko under 18 mpelekeni mahakamani (hata kama binti yuko over 18 but walianza akiwa under 18). Huyo mama akubali tu kua kapikuliwa.
 
Back
Top Bottom