Hivi wapenzi,ukitafuta mwenzi unataka wa namna gani.

Naomi 88

New Member
Mar 23, 2012
2
0
Je unataka mtu anayefanana na wewe au aliyetofauti na wewe ktk tabia na matendo.:thinking::thinking::thinking::thinking::thinking:!!!!!!
 
Mimi navyo fahamu wapenzi ni wale mke na mme wake, au vipi...na kama ndio vile, mimi navyo fahamu ndoa zinapangwa na mungu, mimi nashukuru sana mke wangu na mimi tuko mbali sana kitabia.

Yani kama mbingu na ardhi, mimi shetani na mke wangu naweza kusema, she's an Angel :cool2:
 
Kuna fungu fulani la tabia inabidi muendane kwa kiasi kinachoridhisha
(hobbies, interests, foods n so on). Hizi zinasaidia kuspeak the same language wakati mnahav fun...

Kuna fungu lingine inabidi kutofautiana (mara nyingi ni kwenye vitu muhimu katika maisha)-na mtofautiane kwenye sense;
Where you are weak, your spouse is stong
Where your spouse is weak you are strong.
Hizi ni muhimu sana coz ndio hali halisi ya kusaidiana kwenye ndoa na kugawana majukumu...
 
Unatakiwa kutafuta atakaye kutuliza moyo wako

na kila mtu ana vigezo vyake, hivyo kuwa mwangalifu ktk hili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom