Nijuzeni viwanja vizuri vya kustareheka hapa Capital CIty | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nijuzeni viwanja vizuri vya kustareheka hapa Capital CIty

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Siasa, Mar 23, 2012.

 1. S

  Siasa Member

  #1
  Mar 23, 2012
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 29
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wakuu nimeingia Dodoma jioni hii. Nataka nile wkend na kimwana wangu aliyepo hapa hapa. Nijuzeni viwanja vipi naweza toka nae. Ningependa sehemu iliyotulia,ninadrive.
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  please wait while loading...
   
 3. Songoro

  Songoro JF-Expert Member

  #3
  Mar 23, 2012
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 4,136
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Huyo dem ulienae unammiliki au ndo wale wa kukwapua? tupe sifa za demu wako as viwanja vinategemea na profile ya dem mwenyewe!
   
 4. S

  Siasa Member

  #4
  Mar 23, 2012
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 29
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mtulivu kama mimi,ni wapenzi wa siku nyingi,tunataka sehemu nzuri tule raha jioni hii
   
Loading...