Ila kusema ukweli huyu mtoto mmefanana sana,kama chupa za bi... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ila kusema ukweli huyu mtoto mmefanana sana,kama chupa za bi...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by dazipozi, Mar 23, 2012.

 1. dazipozi

  dazipozi JF-Expert Member

  #1
  Mar 23, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 1,143
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Bwana.Fudenge umekaa na mkeo sebuleni,lakini mara kwa mara amekuwa akisimama kwenda jikoni na kurudi,mara akakuuliza...
  Mkeo:"Hivi baba Chanja.."
  Wewe:"Unasemaje?"
  Mkeo:"Leo asubui ulisema tabia fulani kuhusu Chanja sikupenda...."
  Wewe:"Ipi hiyo?"
  Mkeo:"Ulisema eti juzi kaiba mkate,wiki iliyopita eti aliiba elfu mbili yako.Leo asubui umemnasa akitaka kuiba kipande cha Nyama.Ukauliza tabia ya Wizi kaitoa wapi maana kwenu hakuna mwizi mwizi...
  Mkeo anaendelea:(kwa sauti ya hasira)"Sasa unaposema kwenu hakuna tabia ya wizi wizi una maana amerithi kwetu siyo?"Baada ya kumaliza kuongea hayo mkeo anaondoka kwenda jikoni,lakini simu yake anaiacha jirani yako,Mara meseji inaingia,ww unaichukua na kuifungua,imetoka kwa mtu aliyeseviwa kwa jina la KICHORI.Kichori unayemfahamu wewe ni jamaa mmoja anayeishi mtaa wa pili,ambaye pia inasadikiwa ni mwizi kwenye majumba ya watu usiku.
  Inbox:"Mama Chanja,leo mtt wangu alikwenda shule?"
  unagundua licha ya msg hiyo,pia kuna msg nyingi za huyo jamaa,unafungua nyingine.
  Outbox:"Baba Chanja,mista anadai eti huyu mtt wako mwizi mwizi,akasema kwao hakuna mwizi,nimekasirika sana."
  Inbox:"Mjinga huyo mwambie si mtt wake tuone atafanya nini?Na mwaka huu utanipa Mwanangu nimlee mwenyewe,nahisi mumeo amemshashu2kia asiye akamuua bure."
  Outbox:"Thubutu,amuue nimfunge.Ila kusema ukweli swt huyu mtoto mmefanana sana,kama chupa za bia jamani!"
  Inbox:"Tehe tehe tehe tehe tehe tehe tehe...mimi nina damu kali sana
  ok kama ndo wewe utafanya nini?Mx
   
 2. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  mh hii kali
   
 3. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #3
  Mar 23, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Vipimo vya DNA fasta, fanya uchunguzi wa kina,kama ni kweli, Talaka! Maana kufanya uhuni mpaka kuzaa na mwanaume wa nje ya ndoa ni tabia ya uhuni uliovuka mpaka!
   
 4. dazipozi

  dazipozi JF-Expert Member

  #4
  Mar 23, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 1,143
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  yani Hatari tupu,Mx
   
 5. dazipozi

  dazipozi JF-Expert Member

  #5
  Mar 23, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 1,143
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Sure DNA Muhimu watoto wakike zamana Awana,Mx
   
 6. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #6
  Mar 23, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Kitanda hakizai haramu bana...........Watoto siku hizi ni vitega uchumi, kama ni mwizi akiiba si ataleta nyumbani tunakula.
  kama mimi wala hainisumbui nahakikisha tu namshitaki mwizi wangu (Baada ya DNA kuthibitisha) kwa ugoni kisha ananilipa fidia na maisha yanasonga mbele...........
   
 7. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #7
  Mar 23, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Mimi nampelekea asiye mwizi kwa mkewe.
   
 8. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #8
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,832
  Likes Received: 10,152
  Trophy Points: 280
  Nimesoma kwa hisisa sana kisha nikaishia kupiga magoti na kutubu...usiulize kwa nini
   
 9. mgeni10

  mgeni10 JF-Expert Member

  #9
  Mar 23, 2012
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,112
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  H P, umesahau kitanda akizai Haramu???????
  Talaka ya nini????? sema na mkeo umejua tabia yake kisha endelea na maisha kama kawaida

  Utaona mabadiliko makubwa
   
 10. BIG X

  BIG X JF-Expert Member

  #10
  Mar 23, 2012
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Duh!!!!
   
 11. ossy

  ossy JF-Expert Member

  #11
  Mar 23, 2012
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 877
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  DNA za siku hizi ni za kichina mkuu,zitaonesha mtoto ni wako ...
   
Loading...