Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mimi naitwa Power G. Nina umri wa miaka 32, urefu futi 8 na umbo langu kama ninavyoonekana kwenye picha yangu hapo juu. Nina elimu ya msingi na kazi yangu ni mnyanyua vitu vizito. Natafuta binti...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimeshangazwa na taarifa ya Kadhi Mkuu kule Zenji kuwa zaidi ya asilimia 70 ya kesi za talaka ni wake wakidai walimwe talaka tatu na waume zao baada ya kuchoshwa na vitendo vya unyanywasaji...
1 Reactions
111 Replies
9K Views
Kazi nzuri tuliifanya mimi na maama'ake Matunda yake si khaba na mwana tukajaliwa Ndoa kati yetu tuliiogopa kwani ni ndoana Mwafaka ukafikiwa wa mgawanyo wa majukumu Lakini matunzo ni ya mtoto na...
10 Reactions
131 Replies
9K Views
hivi mwanaume anayeondoka home asubuhi halafu anarudi saa 7au8 wakati normal time ya kurudi home ni saa moja kwa ajili ya foleni,hata hatext wala haemail kwamba atachelewa kurudi je ni haki,eti ni...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Please discuss.......... ˙ɐʇnʞıuɐɥsɐʎ nuǝzuǝʍɯ nqɐqɐs ɐʍʞ ɐzıןnɐu
2 Reactions
40 Replies
5K Views
...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Wapo watu wanaopenda - kwa kujua au kutokujua - kugombana mbele ya watoto wao. Utakuta kitu kidogo kinaanzisha majibizano makali kati ya wapendanao kiasi cha kwamba wanashindwa kujizuia kabisa...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
X Bofffffff
6 Reactions
37 Replies
4K Views
Jamani kila mara huwa natafakari nashindwa kuelewa. Nilipokuwa darasa la saba pale Mandaka yalitokea mauaji ya mume wa mpishi wetu wa shule. Nilisikia kwamba aliuwawa na wapenzi wa mke wake na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
jamani nimekutana na hii picha ambayo sikuamini macho yangu kwenye facebook ya human rights, ambayo kuna video ya kuoyesha mwanamke ambaye kakatwa katwa na mapanga kwa madai ya kumyima mume...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Eastland’s people (men) have found a new rare hustle; they are using their immoral spouses to make money. This morning a married lady was caught stuck with her lover in their house. The husband to...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Ndugu zangu; Mama huyu ni jirani yangu anatoa huduma ya M~pesa, sasa mara nyingi nkihitaji huduma hiyo hupenda kumtumia yeye kwa kumpigia simu au kumtumia msg kumwambia anishibishie account yangu...
0 Reactions
48 Replies
7K Views
Guys, naomba ushauri. age difference yetu ipo sawia. je huyu she aatatulia au ndo bado anaendelea na ujana? kwasasa she is decent sana, ni 6 months nipo nae. nawasilisha
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Kuna siku nilikuwa nasikilza claudz fm kipindi cha leo tena, mtangazaji mmoja akaleta habari ya kwamba ilitokea karibuni huko Kenya mtu aligandana na mke wa mtu! Maskini mume alikuwa amesafiri...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Chupi huwa tunaidharau lakini ina mdomo mkali Chupi chafu na inayotoa kharufu mvaaji naye ni mchafu Chupi yenye mikato ya kike nayo huongea kwa kike-kike Chupi hiyo huitwa "brief" na mvaaji ana...
17 Reactions
190 Replies
21K Views
Kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu nimeamua kuwa cheater, uzoefu wangu kwenye maswala ya mahusiano umekuwa sio mzuri japo nilijitahidi kuwa mwaminifu sana. Kuwa single siwezi , solution...
1 Reactions
88 Replies
7K Views
Bofya hapo chini....Tick kisha evaluate Marriage Quiz : Free Marriage Quiz : Discovery Health
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Jamani Asanteni,siamini mie. Hatimaye nimempata liwazo langu la moyo humu Jf,anaitwa Ndg: L*... Kwani amefiti vigezo vyangu,kikiwemo kile cha kwanza nilichokiwekea mabano. (Rejea thread yangu ya...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
We get mad over the smallest reasons. We over-analyze everything. We feel a sense of jealousy when we see you talking to someone who has more to offer. We get sad at the thought of ever losing...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom