Mhuu.. hii kali! Haki ya tendo la ndoa

BUCHANA

Member
Feb 4, 2012
30
4
Kwamba wanaume wanahitaji kuagana na wake zao kwa tendo la ndoa ndani ya masaa sita baada ya mke kufariki! imekaaje hii?

Mwanamke akihitaji haki hiyo itakuwaje?
 
sijafahamu wala sijaelewa. I think I am confused and not convinced!
 
Kwamba wanaume wanahitaji kuagana na wake zao kwa tendo la ndoa ndani ya masaa sita baada ya mke kufariki! imekaaje hii?

Mwanamke akihitaji haki hiyo itakuwaje?

Ni kama vile ulikua unasikiliza mahali, halafu ukaibeba kama ilivyo ukidhani tulikua tunasikiliza wote
 
Hao jamaa wamekosa ya kufanya ni kitu hakiwezekani kimfumo wa binadamu na unapo kufa mwili hukakamaa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom