Kufanya mapenzi bila kinga

marrykate

JF-Expert Member
Mar 4, 2012
733
442
je kufanya mapenzi bila kinga ni ishara kwamba mnapendana kwa dhati, nina mpenzi wangu kila siku analalama kuwa simpendi kisa atataka peku peku na mimi sipo tayari,
 
Eti na mpenzi wangu.

Sa we mpaa mda huu una mpenzi, na hujui kama ana HIV au hana.

Sa condom ndo unadhani inaweza kukusaidia ikipasuka.
 
Eti na mpenzi wangu.

Sa we mpaa mda huu una mpenzi, na hujui kama ana HIV au hana.

Sa condom ndo unadhani inaweza kukusaidia ikipasuka.

Tumepima lakini sipendi peku peku, naona ladha ni ile ile hata ukitumia kinga
 
je kufanya mapenzi bila kinga ni ishara kwamba mnapendana kwa dhati, nina mpenzi wangu kila siku analalama kuwa simpendi kisa atataka peku peku na mimi sipo tayari,

Wewe ndo tukulize umekaa nae mda gani na mnaaminniana kiasi gani kama umeokota usiku wa manane kasema hivyo utafaidisha TACAIDS
 
swala la kupima linaambatana na uaminifu hata mkienda kupima leo mkakuta negative kama c mwaminifu ni kazi bure kwani anaweza kwenda kwa wengine akaambukizwa na atkuambukiza kwani tayari utakua hauna wasiwasi naye
 
Back
Top Bottom