Mke wa mtu ananipenda nifanye nn na ananitishia maisha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mke wa mtu ananipenda nifanye nn na ananitishia maisha

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Skp2ole, Apr 29, 2012.

 1. Skp2ole

  Skp2ole Senior Member

  #1
  Apr 29, 2012
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 107
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wanajukwaa wenzangu mm ni mwanafunzi ktk chuo kikuu kimoja hapa nchini tatizo langu ni kwamba nina soma chuo kimoja na mama MTU mzimza na ni mke wa mtu tatizo lake haishi kuja chumbani kwangu eti anasema ananipenda na anataka Nimpe Penzi na yeye atanipa kila nitakacho na mm sitaki kwani ni mtu na familia yake na familia ni watoto wakubwa kama mm na huwa wanakuja kumtembea hapa na nina waona. nilisha fanya mbinu ya kuhama nyumba ila amechunguza na mpaka amejua naishi wapi na kuja kunifuata na sasa amefika mbali kiasi cha kunitishia kama sitaki kumpa anachotaka atanitengenezea sikendo hebu nishaurini nifanye nn Ndungu zangu ilikujitoa huku
   
 2. mnyanyaswaji

  mnyanyaswaji JF-Expert Member

  #2
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 10, 2009
  Messages: 469
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nenda kareport police ukiwa na ushahidi wa kueleweka,mfano wakati akija kwako kukutisha weka simu yako kwenye record mode, urekodi kila maongezi yake. Ukimuona anatokea kuja kwako basi set mapema. Na pia washirikishe wapangaji wenzio pindi anapokuja ili ushahidi ushibe. Vinginevyo atakufanyia kitu mbaya sababu anaona anadhalilika kwako ameomba tunda umemtosa ni aibu kwake. Wakati huohuo nenda kaandae RB police mapema hata sasa hivi.
   
 3. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #3
  Apr 29, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Achana naye huyo shetani atakuharibia future bure. Hivyo, ni vitisho tu wala usihofu. Kwanini usimpe ukweli na ajue hilo? mbona unashindwa kuwa mwanamme? mwanachuo mzima unayetegemewa na familia yako na jamii ktk kufanya maamuzi mazito unashindwa na hilo? kisa anakutisha? acha upuuzi wewe, amka na usimame kwa miguu yako 2 na useme NO kwani wewe ndiyo una future yako mkononi na si mtu mwingine. Kuwa mwanamme na useme no na uendelee na mambo yako.
   
 4. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #4
  Apr 29, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,030
  Likes Received: 2,678
  Trophy Points: 280
  Yaani unasoma chuo halafu unakosa akiri ya harakaharaka,
  Jinsi ya kumkomoa huyo kahaba?
   
 5. mgeni10

  mgeni10 JF-Expert Member

  #5
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,112
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Sioni cha kuogopa hapo
  Humtaki , Mwambie ukweli
  Skendo ya kutengeneza hainaga mshiko,

  Kuwa na maamuzi ya kwako, wala sio hofu
   
 6. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #6
  Apr 29, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mbona hujui kudanganya? Tittle inasema amekutisha kukuuwa huku ktk habari yenyewe akakutisha atakutengenezea skendo sasa tukueleweje? Waswahili wanakuambia siku zote ukitaka kudanganya kuwa na kumbukumbu nadhani next time ukija kudanganya tena humu utalikumbuka hilo
   
 7. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #7
  Apr 29, 2012
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,951
  Trophy Points: 280
  Kwani tatizo nini sasa?..si umpe ulichonacho na anachokitaka??...au dogo hujiamini?...umri kama mamako lakini sio mamako..age aint a thing but just a number....kuwa dogooo.
   
 8. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #8
  Apr 29, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  ukimega mke wa mtu ujiandae kutiGoliwa pia... it cuts both ways dude...
   
 9. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #9
  Apr 29, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  Una umri gani na uko mwaka wa ngap?
   
 10. Jimbi

  Jimbi JF-Expert Member

  #10
  Apr 29, 2012
  Joined: Aug 16, 2010
  Messages: 871
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  aaaaaaah, dogo unaniangusha bana, zali hilo, we mega tu, au kama vipi niPM namba zake nikusaidie
   
 11. z

  zorilla Member

  #11
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umejenga mazoea mwenyewe-chagua kusuka au kunyoa
   
 12. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #12
  Apr 29, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,191
  Likes Received: 1,193
  Trophy Points: 280
  Muulize kama na mapenzi yataulizwa kwenye mitihani.
   
 13. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #13
  Apr 29, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Vya watu wapokea hakuna bure dunia hii, its give and take...
   
 14. k

  kisukari JF-Expert Member

  #14
  Apr 29, 2012
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,766
  Likes Received: 1,055
  Trophy Points: 280
  huyo mama hana hata mshipa wa aibu jamani?weka ushahidi,anayokwambia yote,mpelekee mume wake.ukiona hivyo,ndio tabia yake huyo mama kutongoza dogodogo
   
 15. mtoto wa mfugaj

  mtoto wa mfugaj Senior Member

  #15
  Apr 29, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 136
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mshitaki kwa mumewe
   
 16. S

  SKIDDO New Member

  #16
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sasa Chuo kinakusaidia nini?? After all, tunapata experience ya vitu kama hivyo kutoka vyuoni, kama amejileta kula, then kesho yake akirudi mzushie mwizi na washikaji wakiwepo, au njoo nikuazime mtutu umgusishe kwenye shingo yake apate kaubaridi hatarudi ng'o!!
   
 17. Erotica

  Erotica JF-Expert Member

  #17
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 2,514
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Na wewe baba mzima umetishika? wewe na yeye nani anaweza mchafua mwenzie?
   
 18. Bra-joe

  Bra-joe JF-Expert Member

  #18
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,559
  Likes Received: 510
  Trophy Points: 280
  Siku 1 nenda kamtembelee ukiwa na mpenzi wako, halafu mtambulishe mpenzi wako kwake. Hawa viumbe wakikataliwa wanapatwa na hasira mbaya sana. Mchukue huyo mama mkapime, akiwa safi kula mambo kama mara 2 halafu kula kona ya ajabu. Urudi kwa mpenzi wako. Kidume halisi hakijui kukataa mara nyingi.
   
 19. kikahe

  kikahe JF-Expert Member

  #19
  Apr 29, 2012
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 1,273
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Kaa nae mbali sana. wala usijaribu hata kidogo kuingia kwenye mahusiano haramu kama hayo.
   
 20. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #20
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  mshtue mumewe...
   
Loading...