jamani wanaume tumekuwa adimu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

jamani wanaume tumekuwa adimu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Bishanga, Apr 25, 2012.

 1. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #1
  Apr 25, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  yaani we acha tu........
   
 2. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #2
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Kwani wanawake ndio wakwapi B'? Maana kama kuwaona tu mtaani
  hata wanaume vivo hivo ni wengi.... Usijifariji sana wote wamekua adimu.
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  Apr 25, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,303
  Likes Received: 22,104
  Trophy Points: 280
  Wanaume tuko wachache sana tangu zama za adam, ila magumegume ni wengi.
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Apr 25, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  Kwani wanawake wamekuwa wengi?
   
 5. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #5
  Apr 25, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Naunga mkono hoja!
  Wasiounga hoja mkono waseme SIO !
  Siiiooooo (kama watu 50!)
  Wanaounga hoja waseme NDIYO!
  Ndiiiyooooo (kama watu 50 pia!)
  Nadhani waliyosema Ndiyo wameshinda !
   
 6. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #6
  Apr 25, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  Ila jamani Chesiiiiiiiii
  Wanajua kunipa laaa utamu laa utamu
   
 7. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #7
  Apr 25, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  mmekua adimu halafu wengi network hazikamati, hii hatari thatha
   
 8. la Jeneral

  la Jeneral JF-Expert Member

  #8
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 393
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wanawake wangukuwa wachache pangekuwa hapatosh hapa duniani,ful watu kuuwana,ugomvi daily kugombea mbunyeee,mungu ana makusudu yake kuwafanya wawe wengi ona hata takwimu hospitalini katika watoto 10,wawili tu ndo vidume,,,,,,,napenda sana hii kitu
   
 9. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #9
  Apr 25, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  heheheheheh Bishanga unajipa moyo eeeh
   
 10. Tangawizi

  Tangawizi JF-Expert Member

  #10
  Apr 25, 2012
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 2,835
  Likes Received: 927
  Trophy Points: 280
  Haahaa! Bishanga umeanza...na bei yetu wanaume halisi iko juuu. Tunagombaniwa kila kona na kila pande....yaani we acha tu.
   
 11. mkonowapaka

  mkonowapaka JF-Expert Member

  #11
  Apr 25, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 1,483
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  leo nlikua kwenye foleni asubuh..jamaa wanashindana kugawa vipeperushi vya Nguvu za kiume...ni dalili mojawapo kuwa wanaume tupo wachache bado pia idadi ya wasio rizki imeongezeka..purely wanaume tupo wachacheeee
   
 12. la Jeneral

  la Jeneral JF-Expert Member

  #12
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 393
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  umetoka nje ya uzi kongosho
   
 13. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #13
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Wanaume suruali ndio wengi....
   
 14. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #14
  Apr 25, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ati!we ni supika?
   
 15. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #15
  Apr 25, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Juzi nasafiri wanaume kwenye basi tupo kama 11 kati 60.Nikajiuliza ni wanaume ndo wanazidi kwisha au.Hii sijui inaashiria labda wanawake 10 kwa 1 mwanaume
   
 16. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #16
  Apr 25, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,322
  Likes Received: 1,787
  Trophy Points: 280
  Wanaume wa kukweli wanahesabika AD ambao kina dada wakiwaona wana wasalute...their number is just so small and trust me bei yao nayo ni kubwa, lol!
   
 17. super thinker

  super thinker JF-Expert Member

  #17
  Apr 25, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 370
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  :hippie::A S angry::doh::target::eek:hwell::smile::bowl::rofl::A S 41::mad2::(:bathbaby::rolleyez::crying::whip::glasses-nerdy::A S-cry::lalala::A S-heart-2::playball::censored::shut-mouth::A S shade:
   
 18. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #18
  Apr 25, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  wanaume wanaojua uanaume ni wachache...NI KWELI
  lakin wanaume wenye kukojoa uku wamesimama na kuvaa boksa ni weeeeeeeeeeeeeeeeeeeng sana mpk wengne wanajiuza  km ilivyo wanawake wenye ukike ni wachache
  lakin wanawake wavaa shanga wapo kibaooooooooooooooooooo mpk wengne wapo sokon:hippie:
   
 19. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #19
  Apr 25, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  Niko ndani ya uzi kabisa
  Wanamme wana tabia kama za chesii
  Kufanya matukio makubwa pasipotarajiwa.

  Si unajua tena mwanamme kama simba mzee tu
  teknik za uwindani zote anazo.

   
 20. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #20
  Apr 25, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0

  du unachekesha...unahesabu wanaume kwa kutumia kigezo cha WAVAA SURUALI?
  wanaume matendo kaka....labda ao woooooooooote uliowaona mwanaume yupo 1 wngne woooooooooooote:target::target:
   
Loading...