Jaman naomba mnisaidie kuhusu hili coz haya mapenzi mh! Why me?

Prince Gack

Member
Mar 1, 2012
79
16
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 21. Nimekuwa na mvuto kwa wanawake wengi ila kati ya hao wanawake ninaowavutia ni wachache sana walionivutia tena kwa asilimia ndogo sana like 5% only.
Na pia kuna wanawake wengi wanaonivutia kwa asilimia kubwa like 85%. Lakin cha ajabu nikiwaface wanasingizia kwamba am too late coz they are nat single any more. Sasa najiuliza ni kweli mimi nina mvuto kwa wanawake ambao sio my type?
 
Ah unawah wapi? maana unadeal na watoto sasa hapo tushaul uhalibifu? kwa huo umri sanasana unatakiwa kudeal na mabinti chin ya miaka 19 . jitahd kwnye masomo
 
mdogo wangu kwa umri wko mpz ya nn coz hta ikitokea umempa bint ujauzito huwez majukum,nakushaur kazana na shule mapz yapo tu,kila kukicha wanazakiwa warembo.Ebu soma acha mzaha
 
Watoto siku hizi makimbilia nn ktk maswala haya? Una 21 unaanza kucomplain habari za kuvuta na kuvutiwa, ukifikia umri wetu si utakuwa umemaliza ulimwengu mzima?

Shule vp umemaliza?
 
Watoto siku hizi makimbilia nn ktk maswala haya? Una 21 unaanza kucomplain habari za kuvuta na kuvutiwa, ukifikia umri wetu si utakuwa umemaliza ulimwengu mzima?

Shule vp umemaliza?

Lakin kumbuka mapenzi hayana umri. Offcorse bado nipo chuo second year! Hamuoni kama huu ndo muda wa kuangalia atakaeyekuwa mwenza wangu?
 
mapenzi sio kitu chakucheze yatakuchanganya shule ikushinde,endelea na shule mapenzi umeyakuta na utayawacha.
 
Dogo put in ur mind that there is tym for everything in world as the bible says. so now is tym 4 u to study first then everything wil fall at it place evntually.......
 
Back
Top Bottom