Naomba kufahamishwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba kufahamishwa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by John Gelas, Apr 29, 2012.

 1. J

  John Gelas Senior Member

  #1
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 25, 2012
  Messages: 166
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Jaman mie naomba kufahamishwa kwamba ukiwa na miaka kuanZia 20 na uko chuo uwez kupata mchumba wa kukuliwaza?kama jb n ndio me natafta NO:0719474102
   
 2. m

  mwakabembe Member

  #2
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unayemtafuta siyo mchumba kama ulivyosema, usijaribishe maswala haya
   
 3. J

  John Gelas Senior Member

  #3
  Apr 30, 2012
  Joined: Apr 25, 2012
  Messages: 166
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kwanini ?
   
 4. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #4
  Apr 30, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,670
  Trophy Points: 280
  Dogo soma,achana na mambo haya!
   
 5. vena

  vena JF-Expert Member

  #5
  Apr 30, 2012
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 314
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  we huna jinsia? au unatafuta tu wa jinsia yeyote? sasa mwana chuo gan hajui hata kujieleza
   
 6. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #6
  Apr 30, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  dogo tafuta gf huko huko chuoni, hayo mambo ya wakubwa waachie wenyewe. Wakati wako utafika, kwasasa futa ujinga kwanza.
   
 7. Vaislay

  Vaislay JF-Expert Member

  #7
  Apr 30, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 4,512
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  wewe unajaribu....ukiwa sirias na hili rudi tena hapa.
   
Loading...