Wapo watu wanaopenda - kwa kujua au kutokujua - kugombana mbele ya watoto wao. Utakuta kitu kidogo kinaanzisha majibizano makali kati ya wapendanao kiasi cha kwamba wanashindwa kujizuia kabisa...
Jamani kila mara huwa natafakari nashindwa kuelewa.
Nilipokuwa darasa la saba pale Mandaka yalitokea mauaji ya mume wa mpishi wetu wa shule. Nilisikia kwamba aliuwawa na wapenzi wa mke wake na...
jamani nimekutana na hii picha ambayo sikuamini macho yangu kwenye facebook ya human rights, ambayo kuna video ya kuoyesha mwanamke ambaye kakatwa katwa na mapanga kwa madai ya kumyima mume...
Eastlands people (men) have found a new rare hustle; they are using their immoral spouses to make money. This morning a married lady was caught stuck with her lover in their house.
The husband to...
Ndugu zangu; Mama huyu ni jirani yangu anatoa huduma ya M~pesa, sasa mara nyingi nkihitaji huduma hiyo hupenda kumtumia yeye kwa kumpigia simu au kumtumia msg kumwambia anishibishie account yangu...
Guys,
naomba ushauri. age difference yetu ipo sawia. je huyu she aatatulia au ndo bado anaendelea na ujana?
kwasasa she is decent sana, ni 6 months nipo nae.
nawasilisha
Kuna siku nilikuwa nasikilza claudz fm kipindi cha leo tena, mtangazaji mmoja akaleta habari ya kwamba ilitokea karibuni huko Kenya mtu aligandana na mke wa mtu! Maskini mume alikuwa amesafiri...
Chupi huwa tunaidharau lakini ina mdomo mkali
Chupi chafu na inayotoa kharufu mvaaji naye ni mchafu
Chupi yenye mikato ya kike nayo huongea kwa kike-kike
Chupi hiyo huitwa "brief" na mvaaji ana...
Kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu nimeamua kuwa cheater, uzoefu wangu kwenye maswala ya mahusiano umekuwa sio mzuri japo nilijitahidi kuwa mwaminifu sana. Kuwa single siwezi , solution...
We get mad over the smallest reasons. We over-analyze everything.
We feel a sense of jealousy when we see you talking to someone who has more to offer.
We get sad at the thought of ever losing...
Kumekuwepo na malalamiko ya akina mama siku hizi kwa waume wao kuwa na mahusiano na ma house girl wao. Je tatizo ni wao kutotimiza wajibu wao au ni tamaa tu za wanaume nipeni jibu
Naitwa Salim Athuman, umri wangu ni 27, kwa imani ni Muislamu na kwa sasa ninaishi DSM.
Nahitafuta msichana mwenye umri kati ya 22 hadi 25 na sifa kubwa awe Muislam na mwenye kujiheshimu na...
Kweli wabongo tuna vituko vyetu wenyewe na tunawezana wenyewe. Mtu alikuwa amesafiri tena baada ya kuachana na mlijua hakuna uhusiano. Anarudi toka safari siku mbili tatu anampigia 'demu wake wa...
Kama mapenzi ndio hivi basi tena.
gharama ya simu tu hata elf10 haifiki
bado unapiga kibomu kikubwa hivo duh.
Ana wiki haja ku kubip wala kuku sms mara
unashangaaaa.........
.............Basi...
Aged 22, mwanafunzi wa chuo kikuu, lakini niliyekulia uswahilini.
Nina uwezo wa kusocialize na yeyote, popote, wakati wowote. Nina marafiki kuanzia huku uswazi, wafanyakazi wa sekta isiyo rasmi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.