Natafuta mchumba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta mchumba

Discussion in 'Love Connect' started by Eberhard, Apr 29, 2012.

 1. E

  Eberhard JF-Expert Member

  #1
  Apr 29, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,024
  Likes Received: 283
  Trophy Points: 180
  Natafuta marafiki. Wawe waa jinsia zote. Wawe watu wenye tabia njema kwa jamii
   
 2. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #2
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Hii kasi ya watafutao wachumba hapa Jf mwezi huu naona imeongeza speed! Anyway nakutakia good sucsses , komaa nao!
   
 3. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #3
  Apr 29, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,459
  Likes Received: 3,713
  Trophy Points: 280
  Ameona kuna mafanikio naye kajitosa
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Apr 29, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  kanisan hakuna? We ni mpunga kweli au jina tu?
   
 5. franktemu123

  franktemu123 JF-Expert Member

  #5
  Apr 30, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 775
  Likes Received: 298
  Trophy Points: 80
  Chunga sana maneno yako dogo hilo jina lako "MPUNGA" imeshatupa jibu tumekustukia huna lolote unajitangaza kiaina. Nenda kwa MACHENI MAGOMENI utawakuta wenzako
   
 6. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #6
  Apr 30, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160

  wewe ndio punga,,,,posts zako zimefutwa hukomi tu??halafu sio mwanamke unayetafutwa sijui kiherehere cha nini???
   
Loading...