Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari za asubuhi great thinkers, nisaidieni kwa ushauri wenu kwa huyu rafiki yangu maana naona anaelekea shimoni na jini mauti anamsumbua. Alikuwa anafanya kazi shirika moja hapa mjini na kwa...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Kwa muda mrefu sana nimekuwa nikipita katika baadhi ya maeneo, na kukuta wanawake wanaouza miili yao katika vyumba vyao. Biashara hii maarufu imeanza siku nyingi, na hakuna jitihada zozote...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Katika kazii? Wafanya biasharaa wadogo wadogo Muuzaa kaahawa Muzaa matunda Muuzaa sigara Muuzaa chips Kinyozi Mshona viatu Mpaka rangi kucha Kazii ndogo ndogo nyinginee nyingi tu sijaamalizia...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Hii kauli si ngeni, wanawake wengi nimewasikia wakilalama kwa msemo huu... Naomba wenyewe wajibu.... Hivi kwani wanawapa nini wanaume?? Tujadili
1 Reactions
137 Replies
13K Views
nimeshangaa sana ndugu yangu yaani kaka yangu kaachana na demu wake tena siku wanaachana huyo demu ndo alikuwa anasisitiza hamtaki bro tena, basi kaka akasema isiwe taabu wakapigana chini japo...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Nipo nae yapata 2yrs na miez kadhaa, huyu binadamu ameoa na anawatoto wa 2, tumefanya vitu vingi vya maendeleo ikiwa ni pamoja na kufungua kampuni na baadhi ya miradi mingine midogo midogo...
0 Reactions
60 Replies
5K Views
Tanzania tuna makabila mengi na kila kabila lina mafunzo na tabia yake zake katika swala zima la mapenzi.Je ni wanawake wa kabila gani ni mafundi hodari wawapo ktk uwanja wa seremala?.
0 Reactions
41 Replies
47K Views
Taking a girl's virginity is a popular male fantasy, but if they stopped to consider the reality of the situation, the fantasy might start to look more like a nightmare. It may be an ego boost...
0 Reactions
38 Replies
9K Views
Wote tunajua wazi kuwa kipya ni kipya tu na kina thamani yake Wengi wetu hatuna uwezo wa kununua magari mapya lakini tuna uwezo wa kununua yaliyotumika hasa kutoka nje ya nchi Mara nyingi...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
AMA kweli haki hakuna. Katika hali ya kusikitisha, kijana mmoja Elias John, mkazi wa Kigamboni jijini Dar ( 28 ) amejikuta katika wakati mgumu wa kupofuka baada ya...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Walioko kwenye ndoa nisaidie katika hili,Najua shida hazivumiliki lakini kitendo cha kipato kususua sua japo kwa siku 10 kinaweza kumfanya mke afungashe vilago au kuachika,kwa nini? zamani mama...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
TAZAMA KWA UMAKINI HIZI PICHA HAPO CHINI, ALAFU TILILIKA 1. Watch him closely to see how he relates.. 2. Make sure to read his every move.. 3. Sound your warning and leave him and the enemy...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hii ni kwa wanawake wote wanaoitwa wanawake.hivi huwa hamuwezi kun'gamua wanaume tunapowadanganya,unakuta mwanamke anakusimulia mwanaume fulani kaniambia hivihivi na hivi. wakati hata mtoto mdogo...
0 Reactions
45 Replies
6K Views
Huyu demu hafai kabisa, yuko hapa mjini anafanya kazi kwenye kampuni ya usafirishaji. Tulikutana kwenye Hoteli fulani sisi tukiwa tunapata kinywaji tulikuwa wawili tunakunywa castle lite za...
1 Reactions
66 Replies
9K Views
Tuko kwenye kipindi cha maombolezo ya kuondokewa na jabali la Afrika na Dunia kwaujumla, mzee Mandela ambaye amefanya mengi ya kutukuka na anastahili yote mwema anayostahili Kila mahali sasaivi...
5 Reactions
61 Replies
5K Views
Ni halali kwa wanawake kuwachukulia wapenzi wao kama waume wa ndoa ilihali hata uchumba bado? Nimeshuhudia marafiki zangu wawili waliokuwa na tabia hiyo na walipoachika wakakata tamaa utadhani...
0 Reactions
75 Replies
8K Views
Mambo, Napenda kufahamu zaidi kuhusu members wa Jamii Forums ambao wapo kwenye ndoa. Kama upo kwenye ndoa, tunaitaji kujua vitu hivi -Wapi ulikutana na mume wako au mke wako -Nini kilikuvutia...
0 Reactions
2 Replies
887 Views
awe mweupe, mrefu kias, mnene kiasi,shape mzuri awe mfanyakazi au amejiajiri kama uko ivyo chek me on 0718261099
0 Reactions
7 Replies
1K Views
1.Kabla sijampata nilimwonyesha kiwanja cha kaka yangu nikamdanganya changu 2.Nilimdanganya mshahara anao upata yeye mimi napokea mara mbili yake ukweli napokea nusu ya mshahara anayelipwa yeye...
2 Reactions
56 Replies
6K Views
1. Fake name means fake future partner. 2. You must be insane, hilarious, seriously sick or even a big joke if you can't afford to find a partner out of infinite many people that physically...
7 Reactions
192 Replies
11K Views
Back
Top Bottom