kwamtoro
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 4,922
- 3,245
Mambo,
Napenda kufahamu zaidi kuhusu members wa Jamii Forums ambao wapo kwenye ndoa. Kama upo kwenye ndoa, tunaitaji kujua vitu hivi
-Wapi ulikutana na mume wako au mke wako
-Nini kilikuvutia kwa mke wako au mume wako
- Nani ali proposed ndoa, na ilikuwa kivipi
- Nani alipinga ndoa, na jinsi gani ulishinda
-Harusi na fungate ilikuwaje
-Unafikiri ulifanya makosa kumchagua partner wako?
-Mara ngapi umetegeka kuwa siyo mwaminifu, na ulianguka vipi
-Mda gani unafikiri ndoa yako itafikia ukomo
Kitu kikubwa, yatupasa kufahamua wakina nani members humu kati yetu ambao wameoa/wameolewa, so we can avoid toasting them and getting embarrassed.
@kwamtoro