Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nimetumiwa na mtu. Hii ni kwa ambao hamjaoa >>> Nimekuwa najiuliza kwanini miaka hii miwili wanaume wengi nisiowatarajia wameoa na wengine wanaoa,ghafla ghafla tu unashangaa Kaboom..Meseji...
17 Reactions
90 Replies
10K Views
Natafuta marafiki wa kike wa kubadilishana nao mawazo sibagui dini ,kabila n.k
0 Reactions
0 Replies
914 Views
Kwa mujibu wa jina lake forum hii ni ya Mapenzi,Mahusiano na Urafiki ! Lakini mimi huwa nashangazwa sehemu kubwa yanayoongelewa humu ni mapenzi !sijaona watu wakiongelea urafiki Kwa kunzia mimi...
1 Reactions
48 Replies
4K Views
NIMEKUTANA NA ----- HUU KWENYE MTANDAO MMOJA WA URAFIKI NA UCHUMBA NA NIME SENSE HARUFU YA UTAPELI, KWA KUWA NAJUA WABONGO WENGI HUWA TUNATAPELIKA KIRAHISI, NIMEAMUA...
1 Reactions
38 Replies
9K Views
Heshima mbeele wadau, Kuna jamaa mmoja kapeleka posa kwa binti na mwz Dec au jan anatakiwa kwenda nyumbani kwa msichana kupeleka mahali. na binti yuko so desparate na ndoa sijui ndo mwaita...
0 Reactions
0 Replies
8K Views
Nasikiliza na kusoma kwny media akina mama wamecharuka kwl kwl kua wanataka haki sawa yaani kwny ndoa pia kuwe sawa kimaamuzi tena usiombe ukutane na wanaharakati wa haki za wanawake...
1 Reactions
38 Replies
3K Views
Yamenitokea kweli wadau Mke wangu wa ndoa aliingiza mwanaume ndani ya nyumba na kulala nae mpaka asubuhi kwakati me nk safari kibiashara adhabu yake ni nini? Hii ni pamoja kuvuluga mtaa yaani...
2 Reactions
176 Replies
24K Views
Wakati dunia bado inaomboleza kifo cha Mzee Nelson Mandela, nimeona ni vyema tukajifunza machache kwa kuangalia yale aliyoyafanya wakati wa uhai wake. najua yameshazungumzwa mengi kuhusu yale...
3 Reactions
8 Replies
5K Views
Salaam!! Yarabi tena hili neno ‘’My Number One’’ medula oblongata imekataa kuliongeza kwenye dikishinari yake. Kwani nyie wana inamaanisha katika wote hao wewe ndio namba moja (kuwa kuna wenzako...
1 Reactions
50 Replies
5K Views
Katika maisha ya mapenzi kuachwa ni jambo la kawaida japo lisilozoeleka, halina mzoefu, kuona umeachwa halafu mwanamke huyo akachukuliwa na mwanaume mwingine, ukipiga picha kinachoendelea wakiwa...
2 Reactions
86 Replies
10K Views
Hebu fikiria, umetoka kwenye maisha ya kuchungwa na baba na mama, hali kadhalika hujafurahia maisha na wala huyajui kwani ulikuwa masomoni kwa muda wote. Halafu ghafla unaingia kwenye kifungo...
7 Reactions
65 Replies
6K Views
Wadau, kama kuna mwanaume aliyewahi kukutana na type hii ya wanawake anaweza sema kitu due to my title above!! when i was 20, niliwahi kutana na girl wa kirangi..kiukweli her feelings was very...
1 Reactions
91 Replies
8K Views
Hihihihiiiiiii! Sisalimii wala nini! Hahahahahaaaa! ... Hapa mwenzenu sjapata jibu!!! KWANINI RATE ZA LIKES ZA WANAWAKE WA HUMU MMU ZIKO JUU KULIKO ZA WANAUME???? ... Ieleweke kwamba wapo...
8 Reactions
129 Replies
7K Views
  • Closed
Yaani kuna wanawake hawakatai ukiomba tu hata ulikuwa unajaribu utasikia tu unaambiwa ni wewe tu na akija tena mwingine anakubaliwa hawariziki miili yao walishaitoa sadaka kama yesu msalabani
0 Reactions
76 Replies
7K Views
Uchunguzi huu umefanyika jijini Dar es salaam .... Watu wengi hupenda sana kufanya mapenzi weekend kwa kuwa wiki nzima wanakuwa busy na kazi(hasa kwa ambao hawajaoana), kuna wakati hata ambao...
2 Reactions
36 Replies
4K Views
  • Closed
Mwanaume Pigana Kufa Kupona, Mwanamke Akishakugawia Hiyo Bidhaa Hafukuti Tena!!! Na Masharti Magumu Aliyokuwa Anakuwekea Awali Hayatakuwepo Tena,. Sasa Atakuwa Chini Yako Na Kila...
10 Reactions
117 Replies
13K Views
  • Closed
Wakuu naomba kuwauliza,hvi mwanaume unapokua na galfriend wako then mkaenda kugegedana lodge,mwenye wajibu wa kulipia gharama za lodge ni nani kati ya mwanaume au mwanamke?
3 Reactions
38 Replies
3K Views
Jamaa yangu ana demu wake (sio mchumba wala mke) anakaa nae kwenye nyumba ya chumba kimoja na sebule. Mchana huu wa leo kapokea ujumbe kutoka kwa kaka wa girlfriend wake akimuomba aje Dsm kwa...
5 Reactions
61 Replies
8K Views
  • Closed
Kwa mda mrefu nilikua nikiamini kua wadada waliozaa ndio mashine zao za kusaga na kukoboa mikanda yake imelegea lakini mambo yako tofauti sana siku hizi,wadada ambao hawajazaa ndio wako bure...
1 Reactions
64 Replies
8K Views
Hivi wezangu mlio kwenye ndoa,hivi ni kweli mwanaume ndio anapaswa kumuanza mwanamke ili kufanya mapenzi? Naomba ushauri maana mimi mke wangu nisipomuanza tunaweza kukaa hata mwaka tusifanya...
0 Reactions
58 Replies
6K Views
Back
Top Bottom