MAISHA Ni maishaa tuu tujaribu kuwa angaliaa hapa??

Justin Dimee

JF-Expert Member
Apr 17, 2012
1,146
1,225
Katika kazii?
Wafanya biasharaa wadogo wadogo
Muuzaa kaahawa
Muzaa matunda
Muuzaa sigara
Muuzaa chips
Kinyozi
Mshona viatu
Mpaka rangi kucha
Kazii ndogo ndogo nyinginee nyingi tu sijaamalizia kuzitajaa ??
Wotee haoo wapo ktk mihangaikoo yaa maishaa nao wanapataa nakumshukuruu munguu waoo.
Wapoo matajirii wafanyaa biasharaa wanaoo ingizaa mahelaa kwa sikuu au iwee kwaa masaa naoo pia wanapataa na maishaa mpera mperaa yanaendaa wamskuru munguu pia
Na wasomii piaa naoo vivohivyoo maishaa safii tu yanaendaa
Wakoo omba ombaa nao wanaishi ivo ivo wakiombaa maishaa yanaendaa
Ndoo nakujaa kuelewaa maishaa sioo lazimaa helaa sanaa kwani wotee tunaa vutaa pumzii mojaa nakufaa ni haki yetuu
 

Watu8

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
53,411
2,000
Mnajipa moyo tu, hivi mnadhani ufukara ni mpango wa Mungu kwa mwanadamu?

Tufanye kazi kwa bidii, zaidi sana kazi utayoifanya kesho iwe bora kuliko hii ya leo...

Msiwe kama tishu pepa ambayo imesharidhika kusafisha makalio ya watu miaka nenda rudi...
 

Justin Dimee

JF-Expert Member
Apr 17, 2012
1,146
1,225
Lakinii ndoo ivo watu wanavyoo ishi uki kosaa helaa nikuaa uhuru wakulaa kununua au kuvaa unakosaa lakini ukiwaa unaa amani na upendoo moyoni mbonaa unaishi poa tuu nasemaa ivo coz kunaa vijiji vilivyoko porini wanaishi poa tu bilaa shidaa sahakaa maishaa nayo sawa sawa yanaendaa nafuraha iko pale pale kwa mjini mjini kamaa. Helaa hunaa ndo kimbembe?
 

Me370

JF-Expert Member
Mar 10, 2008
987
0
Some people live life to the maximum others suffers through out.

Oh tofauti mbona kubwa mazee usijidanganye.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom