madiya85
JF-Expert Member
- Mar 5, 2013
- 282
- 65
nimeshangaa sana ndugu yangu yaani kaka yangu kaachana na demu wake tena siku wanaachana huyo demu ndo alikuwa anasisitiza hamtaki bro tena, basi kaka akasema isiwe taabu wakapigana chini japo wana miaka mi 3 wanaishi pamoja kila mmoja akachukua time, huyo demu cha kushangaza toka wameachana na bro huwa anamtumia bro sms za kumtukana tu bila sababu mara mpuuz,-------- ww,sna shida na ww nk. je wadau tatizo hapa ni nini? maana bro anashangaa tu kwani yeye bro toka wameachana hajawahi kumtext wala mpigia simu,tatizo nini sasa?