Kweli mwanaume haridhiki hata umpe nini hawezi kutosheka,,,,,,,,,
But ukimpatia na kumjulia hakupi shida............. atazunguka kote mwisho wa siku lazima arudi!""!"
Kweli mwanaume haridhiki hata umpe nini hawezi kutosheka,,,,,,,,,
But ukimpatia na kumjulia hakupi shida............. atazunguka kote mwisho wa siku lazima arudi!""!"
Kwahiyo Mbwa ukishamjua jina hakupi shida? sasa mbona wenzio wanalalamika eti hawaridhiki hata uwape kitu gani? sasa swali ni hivi,Mnawapa nn ili wenyewe wawaambie shida ni hapa ili waridhike?
Wengi wao hawaridhiki,hata umpe mapenzi yote utajuayo,uwe mzuri ndani na nje still hawataridhika kutulia na mwanamke m1,wana kamsemo kao et "huwezi kula maharage kila siku" waridhikao ni wachache mno. Wengi ni vururuvuru tu
Mimi sijaoa ila ni mtu mzima nadeal na jamii nachangamoto nyingi sana nazisikia kwao. Unajua ni ngumu sana Mwanaume kula chakula anachokipenda nyumbani hasa baada ya kufunga ndoa? Wanawake wakishaolewa tena kwa ALILOLIUNGANISHA MUNGU MWANADAMU HAWEZI KUTENGUA ndo mziki unaanza. Jirekebisheni muwape vile vya tangia bila pete uone kama haturidhiki. pls ni swali dogo ila wanawake mkijipanga mtalifuta vinywani mwenu. Chaajabu mnalalamika nyie. Ila kumbukeni; MWANAMKE -------- HUBOMOA NYUMBA YAKE KWA MIKONO YAKE.Ukiona wamehangaika kisha wakarudi ujue ni mawazo ya watoto wao yanawasumbua na sio kakosa pakwenda. Pls take care dadas
The more u try to prove to sm1 tht u love them,the more they lose the love they have for u,mwanaume usimpe kila kituu and ukazubaa,rimemba,the lower the supply the higher the demand
Wengi wao hawaridhiki,hata umpe mapenzi yote utajuayo,uwe mzuri ndani na nje still hawataridhika kutulia na mwanamke m1,wana kamsemo kao et "huwezi kula maharage kila siku" waridhikao ni wachache mno. Wengi ni vururuvuru tu
Valentina umekosea my dada!!! Kwani tafsiri ya mapenzi ya dhati nin nini? Uzuri wa mwanamke ni nini? Ukishajua hayo utaelewa nikwanini hawaridhiki. Mwanamke unaweza kuwa mzuri saaaana na mapenzi ya dhati ukawa nayo ila kama mdomo wako hauna speed governor kwa mumeo, majirani na ndugu zake bado utaona haridhiki tu!!!! Think out then angalia kama hataridhika. Huwezi nipenda halafu mama yangu unamvutia mdomo nikaridhika. haiwezekani.