Hii ni kwa wanawake wote wanaoitwa wanawake.hivi huwa hamuwezi kun'gamua wanaume tunapowadanganya,unakuta mwanamke anakusimulia mwanaume fulani kaniambia hivihivi na hivi. wakati hata mtoto mdogo wa kiume anaweza kujua huu ni uongo.Huwa najiuliza hamna uwezo wa kun'gamua uwongo?