Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

#Majanga , Nina mke tumeoana miaka 4 iliyopita hatujafanikiwa kupata mtoto kinachonimaliza siyo hiki ila mke wangu hawezi kumaliza mwezi mmoja mzima bila kununa tena kwasababu ndogondogo tu za...
0 Reactions
59 Replies
5K Views
Habari wana MMU, Leo naomba tujuzane na kujadili athari ya watoto katika mahusiano baina ya wanandoa. Jambo hili linaweza kudhaniwa kuwa dogo lakini ukweli ni kwamba mahusiano ya wanandoa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ili kila mtu afurahi mnopokuwa mnafanya ngono ni lazima muambiane ukweli. Ukweli utasaidia kulekebisha kasoro. Mfano wanawake wengi huwa waoga kuwaambia wenzi wao ni staili gani anayoipenda...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ndani ya maisha ya ndoa, muda wowote mwenzako anapohitaji penzi hutakiwi kumkatalia kwa kuwa wewe ndiye daktari wake na kumkubalia kwako ni sawa na kumtibu ugonjwa ambao ungeweza kuyaathiri...
0 Reactions
0 Replies
8K Views
Wakuu siku ya tarehe kama ya leo miaka dahali iliyopita Mr. Akili Unazo!! aliweza kuzaliwa salama kutoka tumboni mwa mama yake. Hivyo.Mr Akili Unazo! anapenda kuchukuwa fursa hii kuwaalika greater...
0 Reactions
0 Replies
790 Views
Mshiba aka busha ni kitu cha kawaida sana Sehemu za pwani Japo kuna mishipa mingine ambayo hutokana na kulogwa au ugonjwa lakini kwa watu wa mwambao kuna mishipa ya mapenzi Yani ukiwa na shipa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mganga mmoja hapa musoma amemrubuni mwanamke mmoja anayeishi makoko kuwa tatizo lake la kutopata mtoto litakuwa historia ikiwa yeye (mganga) atafanya naye tendo la ndoa, mwanamke huyo kabla ya...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Wanajamvi, Kuna kawimbo huwa nakasikia siku hizi ati "ukiwa mjanja, kuchapiwa ni siri ya ndani". Huwa siamini masikio yangu na siamini kama huwa nasikia haya maneno sawasawa. Sijaelewa maana yake...
0 Reactions
6 Replies
10K Views
Tunafahamiana mda sasa Ni rafiki yangu wakaribu sana na tunashirikiana ktk mambo mengi We are so very close kiasi kwamba ishu zake zote nnazo mimi, na zangu anazo akigombana na...
0 Reactions
45 Replies
5K Views
Habari za Asubuh wana jf. Mi nataka kufaham juu ya hili jambo. Jamaa kamtongoza House girl wao.H/g akakubal, pind jamaa alipotaka kugegeda akavaa CONDOM lakin dem akakataa kugegedwa kwa condom eti...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Alinizani bandia,ndani ya maisha yake Wala sikufikiria ,kma ntarudi kwake Sitorudi abadani,sitorudi abadan ni kheri niazirike Lakini leo karudi,kama jambo halikua Na macho yake shahidi,kaja...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Leo nimempigia shuti la kushitukiza shemeji yenu, kwa jinsi alivo mrembo nikajiuliza hebu ngoja nimtwishe hii quiz ili nami nijue my strength maana sijui, nikamuuliza kwa nini unanipenda? akaanza...
0 Reactions
67 Replies
7K Views
Kuna kitu kipya kwa wenzetu kwenye hizo open marriages kinaitwa POLYAMORY... Kwa ufupi ni kuwa mna ndoa kama kawa na mna sex kama kawa lakini mume au mke anaweza kuwa na mpenzi mwingine ambae...
1 Reactions
72 Replies
6K Views
Nimepanda daladala, Imejaa kupita kiasi, Nimesimama na pembeni yangu yupo mdada, Kisura anaonekana si haba, Kidevu kimejaa ndevu, Ameshika bomba kama mimi, Amevaa kitopu, mikono juu, Jasho...
1 Reactions
55 Replies
6K Views
Jamaa kamuaga my wife wake anasafiri kibiashara(mnunuzi wa mazao) na angerudi baada yasiku 3,huku nyuma wapambe wakampasha mkewe kwamba jamaa kaone kana gesti na kimanzi wakijivinjari mke kusikia...
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Asikudanganye haishii mapajani tu atataka na zaidi na mwishowe atazamisha kabisa Wanaume wana ushawishi wa ajabu kabisa, unafahamu wazi kuwa huyu yuko breed, na hawezi fanya chochote lakini...
3 Reactions
166 Replies
15K Views
Jamani mwenye upweke na stress kama mimi karibu tuliwazane,unaruhusiwa ku PM,Ila angalizo mimi ni mwanaume
1 Reactions
37 Replies
3K Views
Najiuliza sana.......maana ya ndoa ni kupata watoto?,kuna tatizo kubwa sana sasa ivi hapa kwetu , wanandoa wengi huwa wanachanganyikiwa sana wakichelewa kupata watoto.....imepelekea mpaka baadhi...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Ukweli ni kwamba hakuna urafiki wa karibu sana kati ya msichana na mvulana...ingawa wengi huwa wanakataa lakini ukichunguza kwa makini utakuta mmoja wapo anahisia na mwenzake sema anaogopa...
0 Reactions
54 Replies
4K Views
Back
Top Bottom