Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,454
- 872,084
Wote tunajua wazi kuwa kipya ni kipya tu na kina thamani yake
Wengi wetu hatuna uwezo wa kununua magari mapya lakini tuna uwezo wa kununua yaliyotumika hasa kutoka nje ya nchi
Mara nyingi magari yenye low milage bei yake huwa juu kwakuwa halijatumika sana
Sasa najiuliza tu ingekuwaje kama zile za wanawake na zile za wanaume zingekuwa zinahesabu kilometa? Yani kila ukifanya au ukifanywa mshale unasogea
Nina hakika kuna watu wangekuwa salvage au write off kwa ajili ya kungonoka
Lakini jiulize hata wewe unayesoma huu uzima je ungekuwa umefungwa hicho kifaa ungekuwaje leo?