• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS
K
Reaction score
15

Profile posts Latest activity Postings About

 • V
  sema kafulambute. mambo vipi,unaseje kauli ya madaktari? MIMINAWASAPORT sana, wewe mwezangu kafulambute unasemaje?
  K
  nashukuru kwa udates zako pia..huwa nipo kwenye email muda mwingi unless ni mid night.
  Caroline Danzi
  Asante kwa contact zako. Umesahau kuweka namba ya simu. Una uhakika kwamba unakuwa kwenye EMail yako all the time? Updates nyingi zitaingia kwenye simu kuliko kwenye Email. Email itatumika tukianza vikao na kuwa na minutes za mikutano.

  Natanguliza shukurani zangu kwako. Keep in touch, wastue na wengine kwa hili kwa wale watakokuwa tayari.
  Mungu akubariki zana.

  CD
 • Loading…
 • Loading…
 • Loading…
Top