1.Finance- Unakuta kadada ni cashier tu but anavyoringa,utadhani ndo CFO.
2.HR-Unakuta dada ana diploma ya HR tu lakini maringo yake sasa.
Lakini cha kushangaza wale ambao ndio roho ya kampuni...
Habari za Leo wapendwa,
Rafiki yangu wa karibu sana wa kiume ananipenda kiasi cha kufikia kutaka mimi niwe mpenzi wake na baadae anioe tuishi pamoja. Lakini binafsi namuheshimu sana na sina hisia...
Ni kijana wa kiume ninamiaka 32, nimeajiriwa hapa DSM nahitaji mchumba awe kati ya miaka 25-28, mweusi, mnene pia awe mkiristo na asiwe mrefu sana.
Karibu pm
Nimejaribu kupitia nyuzi tofautitofauti zenye kuongelea suala la michepuko na kukuta wachangiaji wengi tofauti nanyuzi zingine katika jukwaaa hili.
Karibuni mchangie sababu zinazopelkea nyuzi...
KWASABABU UMELIPIA HAIMAANISHI UTUMIE YOTE
Siku hizi ukinunua kifurushi cha mawasiliano kwenye mitandao ya simu, unapewa meseji 250 kwa siku.Ukisema utume meseji zote hizi, hata kama utatumia...
There's no physical connection attached to anything anymore.
We've developed relationships with things, not each other.
Ninety-five percent (95%) of the personal conversations you have on a...
TUKUMBUSHANE KIDOGO ...........unakumbuka nini
unapoona barua kama hiyo???....>>>>>>>>ilikuwa
nouma kwangu aisee mana ile barua ilisomwa mtaa
mzma yani kila mtu aliipata na mwisho niliiona...
Habari wanajukwaa,
Baada ya kuleta uzi jana kuhusu tabia ya mke wangu kuninyima tendo la ndoa, Leo nikiwa nimekaa na bosi wangu mpyaa nimepata mshituko baada ya bosi kuniambia haya...
"Mdogo...
Shemeji wangu (bwana wa dadangu) alipatwa na ajali, na sasa yupo amelazwa hospitalini hapa kwetu Nairobi na kuwa kama zezeta fulani.
Anajinyea na kudondokwa na udenda, lakini muda wote mke wake...
Habari wana jukwaa,
Hivi hii tabia ya mwanaume kufanya mambo ya kike kama kucheka kimbea na kupenda kujisheua sheua kama mwanamke inakuwa ni hulka au mtu anakuwa na hormone za kike?Maana huwa...
Wanaume mnaojisifia mnajua mambo sita kwa sita mnaboa wengi si lolote!
Umekutana na jamaa very handsome very smart kajazia misuli ukamtamani yaani kila ukimwangalia pichu inajaa...
Mimi ni mtumiaji mzuri wa Mitandao ya kijamii wiki iliyopita niliona application kwenye playstore yangu inaitwa Badoo nikainstall kwenye siku yangu cha kushangaza mtandao huu umejaa wanaume...
Muda sasa tangu social networks zimeanza na kuwa maarufu hapa nchini. Katika muda huo watu wameshakutana na kuanzisha mahusiano ambayo yamekuwa na mwisho tofauti. Yapo yaliyoendelea na kuwa...
"Unalikuta mtu na elimu yake, mwenye potential kubwa tu, analia tu kila siku, kisa mapenzi kuna watu huko duniani wanahitaji kuelimishwa, kuongozwa, kupewa moyo. mwenyewe yupo tu, amejisahau...
Nimebahatika kupanda treni Mara kadhaa nimeshuhudia warembo wakipanda na kushuka hasa kituo cha tabata.Nadhani nitapata mchumba WA kuoa na kuweka ndan.Kuna namba kadhaa za wife material.
Kuna dada mmoja ambaye ni mke wa mtu naishi naye jirani umbali kama wa nyumba nne au tano kutoka kwangu ni mzuri sana kwa sura na umbo, sina mazoea naye sana na ananiheshimu sana na tukionana huwa...
Awali ya yote natumai mu wazima.
Nimekuwa nikujiuliza kwanini watu hulalamikia maswala ya michepuko wakati nikiangalia kwa jicho la pili ni kwamba idadi ya wanawake ni wengi kuliko wanaume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.