Habari zenu wana JamiiForums,
Leo ngoja niulize kitu kwa miaka ya karibuni kumekuwa na wadada wengi ambao wanazalia nyumbani yaani kwa sasa hivi unaweza ukaona binti mkali ukadhani hajazaa kumbe...
Habari za jioni wana JF,
Wenzangu natumaini wote ni wazima wa afya!
Nimeona Leo nitoe dukuduku langu moyoni nisikae na kinyongo, humu kuna group lina tabia moja siipendi sana, yani mtu unatoa...
Mtajwa hapo juu ni mzaliwa wa tanga eneo la manga wilaya ya handeni. Tulipoteana mara baada ya kumaliza kidato cha nne pale Mombo sekondari mwaka 2006. Namtafuta walau nimpe shukrani zangu hasa...
Mimi ni dada wa miaka 38 nina watoto 3 kwenye ndoa nina miaka 13, mume wangu ana umri miaka 52.
Mwaka huu mwanzoni nilifuma sms kwenye simu ya mume wangu akijibu sms ya mchepuko.
Ni hivi...
Nina nia ya dhati kabisa na ukweli kutoka moyoni mwangu najitokeza hapa kutafuta mwanamke mwenye maambukizi ya virusi vya UKIMWI ili awe mwenza wangu wa maisha na tuishi maisha ya matumaini mimi...
Sasa ni;
Naomba wakuu mnieleweshe kidogo.
Japo ni nadra, lakini wapo wanawake wenye ndevu.
Hii inasababishwa na hormonal imbalance.
Lakini kuna tatizo lolote kuoa mwanamke mwenye ndevu?
Ninaye broo wangu anaishi abroad miaka kadhaa, sio siri anatupiga tafu sana kwenye familia tunamtegemea kiukweli, aliwahi kuoa akiwa kule ulaya na kupata watoto 2 baadae wakaachana na yule mke...
Wanawake mnajifanya mnapenda sana wanaume mwisho wa siku mnaishia kuumizwa.
Yaani uhusiano kidogo mtu anakukaa moyoni mpaka basi kila mara kupiga simu mara kuulizia amekula nini kumtambulisha kwa...
Habari za muda huu wadau!
Nahisi kama tumeacha na mwanamke wangu. Tumekaa naye kwenye mahusiano kwa miaka 2, dini tofauti! Muda mrefu nimemuambia abadili dini ili tuoane, akakubali shingo upande...
UKIJIHESHIMU UTAHESHIMIKA TU
Ili watu wakuheshimu ni lazima wewe mwenyewe kwanza ujiheshimu.Ili ufikie mafanikio makubwa kwenye maisha yako ni lazima ujiheshimu.Lakini watu wengi wamekuwa...
Habari. Hivi inawezekana na ni sawa kwa wanandoa kukaa kipindi kirefu bila kukutana kimwili? Inafika zaidi ya mwaka na wakiulizwa wanasema hakuna shida!!
Habari wanajamvi,mimi ni kijana wa miaka 21 ninayesoma katika Chuo kikuu cha Dodoma.jambo ambalo limenileta hapa ni kwamba,kwanza kwa dunia ya sasa hivi nimeona kuna malalamiko makubwa ya MTU...
Salam wakuu
Tamaa na kupenda vitu vya dezo kwa baadhi ya wanawake zinawaponza. Wewe mwanamke umejiuliza kwa nini unapenda outing na jamaa ambaye si mpenzi ndg au rafiki zaidi ya kujuana tu...
Ikiwa ni siku ya 12 tu tangu mwaka uanze nashukuru nimetimiza moja ya maazimio yangu matatu makubwa niliyoyapanga kwa mwaka 2016, yaani nina furaha sana usiku wa leo, wana MMU wenzangu...
Wakuu sioni hata haja ya kuwa na hii kitu inaitwa DSTV
1. Kukiwa na mvua au mawingu mazito basi ujue siku hiyo no signal.
2. Toka jana no signal hadi leo sa sita ndo nawasha inakubali
3. Scratch...
Jamani leo nimekutana na huyu mtu wa Harrier si kuwa nime crash nae ni kuwa ameniletea msala barabarani.
Ilikuwa hivi niko mandela road alfajiri leo kuna mahali nilikuwa nawahi sasa kufika eneo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.