Kaputula La Marx
JF-Expert Member
- Mar 28, 2015
- 562
- 494
Awali ya yote natumai mu wazima.
Nimekuwa nikujiuliza kwanini watu hulalamikia maswala ya michepuko wakati nikiangalia kwa jicho la pili ni kwamba idadi ya wanawake ni wengi kuliko wanaume.
Mfano Sensa ya mwaka 2012 jinsia 'ke' ni wengi kuliko 'me' idadi ya waliojiandikisha kupiga kura 2015 jinsia ke ni wengi kuliko mimi.
Idadi ya watu duniani inaonyesha jinsia 'ke' ni wengi kuliko 'me' sasa akinadada mnapolia kwamba tunamichepuko sidhani kama ni haki hebu fikiri 'me' mmoja mke mmoja hao wanawake wanobaki wangepata wapi huduma yao ya msingi?
Hivyo basi kwangu mimi michepuko is inevitable.
Karibuni nanyi mchangie mawazo yenu juu ya hili.