Kama ni wewe, utachukua uamuzi gani?

KAFA.cOm

JF-Expert Member
Jun 22, 2013
1,301
739
Habari wadau wa MMU hebu toeni msaada wa nini cha kufanya ili kuchukua taarifa sahihi

uploadfromtaptalk1452556882729.jpg


Au ungekuwa ni wewe ungechukua hatua gani..
 
Nitampeleka hospital kwanza.

Halafu ntamuuliza jamaa kwanini hakufanya mipango ya harusi muda wote huo??

Kisha nitampeleka home kwa ajiri ya hafra fupi ya kuagana na watoto, unajua nn kitafuata??

Utakutana nae njiani akiwa anatudi kwao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom