EJM_
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 3,836
- 2,100
Muda sasa tangu social networks zimeanza na kuwa maarufu hapa nchini. Katika muda huo watu wameshakutana na kuanzisha mahusiano ambayo yamekuwa na mwisho tofauti. Yapo yaliyoendelea na kuwa urafiki WA kudumu, uchumba na hata ndoa. Yapo yaliyoishia kwenye maumivu utapeli na wizi.
Hebu tubadilishane kumbukumbu za mahusiano haya yaliyowahi kukutokea yakianzia kwenye social network.
Hebu tubadilishane kumbukumbu za mahusiano haya yaliyowahi kukutokea yakianzia kwenye social network.