Treni ya ubungo ina warembo

Treni ya ubungo ina warembo

MIGUGO

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2011
Posts
2,137
Reaction score
3,951
Nimebahatika kupanda treni Mara kadhaa nimeshuhudia warembo wakipanda na kushuka hasa kituo cha tabata.Nadhani nitapata mchumba WA kuoa na kuweka ndan.Kuna namba kadhaa za wife material.
 
Wife material umewaona kwa macho....????naona ajali mbele soon.
 
Komaa nao ila usije kulialia humu pale utapo omba namba ukaambiwa "Baby tushuke treni tupande tax"
 
Aisee ngoja na mimi nihamie huko! Kigamboni wabayaaaaaaaaa
 
Nimebahatika kupanda treni Mara kadhaa nimeshuhudia warembo wakipanda na kushuka hasa kituo cha tabata.Nadhani nitapata mchumba WA kuoa na kuweka ndan.Kuna namba kadhaa za wife material.
Hahahaha pole
 
hivi treni ya Mwakyembe kumbe bado inafanya kazi eeh? nasikiaga kule siasani baadhi ya watu wanabeza kuwa ilimshinda
 
Back
Top Bottom