Deadbody
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 4,274
- 6,592
TUKUMBUSHANE KIDOGO ...........unakumbuka nini
unapoona barua kama hiyo???....>>>>>>>>ilikuwa
nouma kwangu aisee mana ile barua ilisomwa mtaa
mzma yani kila mtu aliipata na mwisho niliiona
ameishika mama anasoma huku anacheka....dunian
hakuna siri tangu enzi hizo....winnie huyo.... ikaja
kuwa vita ya nafsi mana kila nkimuona winnie
mtaalamu nakula chocho nakimbia zangu na hata
nkimkuta dukani napitiliza naenda duka lingine yani
ikawa ni shida tupuuuuuuuuuu dah mana mtoto
mzur na mm ndo domo zege..je ww ilikuaje???????
barua
nakupenda sana wini na kwa jinsi navyokupenda mpaka nakosa kulala nikikumbuka.mwenzio nikinywa maji nakuona kwenye glasi.yani nakupenda haki ya mungu naomba unikubalie na kama hunitaki naomba usimwambie mtu niambie tu mwenyewe.yani nashindwa hata kusoma kwa ajili yako sio siri nakupenda sana wewe hata wewe najua unajua jinsi gani navyokupenda naomba usinikatae nitakunywa sumu

Last edited: