Ndoa siyo muhimu

Wakuu habari
Kuna malalamiko mengi kuhusu watu kuteseka katika ndoa zao
Kwa kweli mimi naona ndoa ni muhimu kwa wanaume wasiokuwa na pesa, kwani ni njia rahisi ya kujipatia unyumba ila ndiyo uvumilie
Kwa wenye pesa sielewi ni kwanini ufuge ng'ombe kwa ajili ya maziwa uteseke kumchunga na usumbufu kibao wakati unaweza kununua maziwa kila siku kwa matumizi yako, na mapenzi yananoga sana kila ukimpata mapenzi mpya.
Mahusiano mengi yanavunjika siku hizi kwa ajili ya watu Wenye mawazo Kama haya na cha ajabu wanaongezeka kila uchao
 
mkuu nini kimekupata ???
Wakuu habari
Kuna malalamiko mengi kuhusu watu kuteseka katika ndoa zao
Kwa kweli mimi naona ndoa ni muhimu kwa wanaume wasiokuwa na pesa, kwani ni njia rahisi ya kujipatia unyumba ila ndiyo uvumilie
Kwa wenye pesa sielewi ni kwanini ufuge ng'ombe kwa ajili ya maziwa uteseke kumchunga na usumbufu kibao wakati unaweza kununua maziwa kila siku kwa matumizi yako, na mapenzi yananoga sana kila ukimpata mapenzi mpya.
NI
 
Ndoa huwa tamu na mapenzi tele wakati mume akiwa na pesa kuliko mwanamke na kinyume chake hakuna mapenzi
 
Ndoa ni agizo la Mungu so ni muhimu, dat y kukutana na mwanamke/mwanaume kimapenz bila NDOA ni kuvunja amri ya MUNGU yaan UNAZINI.Itakuwa si muhimu kama utaeza kuish bila kujiingiz kwe mahucan ya kimapenz.Kwa wew ishi tu peke ako mana hata ukioa/kuolewa hutotimiza kusud la ndoa
 
Mtakuja kuniamini tu mawaziri wakuu wengi ulaya hawajaoa ni kwa sababu wana pesa
 
Yategemea na imani yako...I believe in holy matrimony na kuwepo na family yenye heshima. kwahiyo ndoa muhimu na sio uzinifu kila kona na kila mtoto na mama au babake
 
Back
Top Bottom