Wasichana mnakera part 2

Vipi aliendelea kukuomba dompo hadi kwa bed???
Si ulimkimbia ww au ulirudi ukaopoa!!!
 
Ukabila at work
siwezi kuacha kukufikiria wewe kwa kuwa upo ndani ya Moyo Wangu.. Tambua kuwa kila ninachokifanya huwa nakuwaza na kukufikiria wewe.. Njoo uwe katika ndoto zangu katika usiku huu, njoo uufanye usiku wangu uwe maalum kwa kuwa nipo pamoja nawe... Nakupenda
 
Mhhhhhh etiiiiiii?
 
yeah nakupenda sana tokea nilipogundua uzuri wako nimejikuta nimenasa nikanasika.. Nipe kazi ya uongozi katika kituo chako cha mahaba
 
Acha upuuzi.. na kukufuru kisa sifa za kijinga
sasa mimi na wewe nani ni mpuuzi? Unauwezo wakuusemea moyo wangu na nafsi Yangu? Sasa humu Jf nitafute sifa kwa nani na kwa faida gani? Wakati mwingine kuitwa mwanaume sio kuvaa suruali tu so usidhani tupo jf kutafuta sifa
 
Mpendwa umekwazika?
Ndyoooo
Ukabila umezidi huku jamvini leo utasikia wachaga mara wapare mara wanyakyusa hasa wachaga wamezidi kuonewa humu ndani
Tuwe makini na tuandikacho jaman coz kinaweza kujenga,kubomoa na kueneza chuki btwn us na kwenye jamii cz watu wengi wanapita huuku jf
 
Back
Top Bottom