Nahitaji mchumba

mwanairinga

Senior Member
Dec 21, 2015
179
12
Ni kijana wa kiume ninamiaka 32, nimeajiriwa hapa DSM nahitaji mchumba awe kati ya miaka 25-28, mweusi, mnene pia awe mkiristo na asiwe mrefu sana.

Karibu pm
 
Aisee na mimi niweke tangazo nini, mbona matangazo yamekuwa mengi japo sijui mrejesho wake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom