Malaika Mkuu
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 902
- 909
Habari wanajukwaa,
Baada ya kuleta uzi jana kuhusu tabia ya mke wangu kuninyima tendo la ndoa, Leo nikiwa nimekaa na bosi wangu mpyaa nimepata mshituko baada ya bosi kuniambia haya...
"Mdogo wangu unajua mimi kwa sasa situmii kondomu"
Nikapigwa na butwaa nika muuliza why bosi?
Jibu alilonipa nilishangaa saana!
Mdogo wangu mimi nina miaka 53 nitumie kondomu ya nini nina miakA 53 sasa hata nikipata virusi vya ukimwi kwa sasa nina miaka 53 nitakaa miaka 10 ndio nianze kutumia Arv miaka 63 hiyoo
Nikianza tumia ARV miaka 63 nitatumia hata miaka 10 tena hapo miaka 73 nakufa sasa nitumie kondomu za nini wakati hata miaka hiyo 63 ni kudra za Allah.
Hivyo mi nikipata vibinti napiga peku tuu...kaa ninao mtakoma vijana...
Salaamu wakuu.....