Kule uswahilini mara nyingi ndiko kunakosikika hili neno,naomba kuuliza, jambo lenyewe ni kubemenda mtoto. Sijawahi kuona mtoto aliyebemendwa. Hivi ni kweli kitu hicho kipo? na kinasababishwa na...
Heshima zenu wana MMU,
Ni Mwaka 2016 na mwezi wa kwanza ndo huo upo katikati unaelekea kuisha hii ni kuonesha kuwa siku hazigandi na dunia inazunguka.
Kilichonifanya niandike huu uzi ni kuhusu...
Unapoingia katika mahusiano ya kimapenzi sio lazima yaishie kwenye ndoa. Mahusiano mengine yapo uli ujifunze jambo.Kuna migogoro, tabia mbaya, kila aina ya ubaya, uongo, kutoendana tabia. Haya...
Zamani niliamini jambo hili linawezekana. Lakini kupitia uzoefu wangu nimeona jambo hili haiwezekani. Nitashare nanyi uzoefu wangu.
Nimewahi kufahamiana na wadada kadhaa katika pilikapilika...
Salam JF.
Kuna jambo kama mwana jamii linanicha na maswali mengi sana, si lingine nalo ni jambo hili la tohara.
Una jua linapokuja swala la kijamii kuna maswala lazima yatofautiane baina ya...
Ni mwaka sasa nimekuwa kwenye mahusiano na huyu Dada na tatizo kubwa kwetu ni Mapenzi .
Tunaishi vizuri sana na tunaheshimiana like tuko pamoja japo tuko mikoa tofauti ila tatizo ni pale...
1. VIPWENTE- hawa ni aina ya wapenzi ambao yeye anaweza akakumisi hadi anahisi network zinakata lakini hakutafuti ng'ooo iwe kwa meseji au laivulaivu kwa sababu hataki kuonekana yeye ndo wa kwanza...
Heri ya mwaka mpya JF??
Wewe ni kijana tayari umekua na umejitosheleza kiasi cha kuhitaji kuwa na mwenza wa maisha (kufunga ndoa). Umempata na procedure zote za awali mmezifanya ikiwamo mahari...
Kwa wasio jua mwanamke ni mtu wa ajabu sana anaweza ku fall in love kunako sehemu asio tegemea. Yupi kati ya aina hii ya wanaume una penda sana kuaa nae au ungependa kukaa nae na ukawa happy.
1...
Ili upate mafanikio ni lazima heshima iwe mbele.
Ili watu wakuheshimu ni lazima wewe mwenyewe kwanza ujiheshimu.
Ili ufikie mafanikio makubwa kwenye maisha yako ni lazima ujiheshimu.
Lakini watu...
WIVU
Envy is the art of counting the other fellow’s blessings instead of your own.” – Harold Coffin
Wivu ni sanaa ya kuhesabu baraka za wengine badala ya kuhesabu baraka zako. Na wivu...
BABA NIFUNDISHE KUHUSU WANAWAKE
"Nikufundishe nini mwanangu kuhusu wanawake? Baba yako nimezeeka ghafla nikiwa na ufahamu mdogo na mwanangu umeshakua kiasi cha kuhitaji elimu hii adhimu, nikupe...
Jamani katika vitu vinavyonikera ni hii ya kuacha vifua/matiti/manyonyo wazi.Huwa naona bora mtu avae nguo fupi kuliko kuweka matiti wazi.
Nikifikiria jinsi mtoto anavyozaliwa na mpaka kukua...
Salam wadau!
Mimi ni kijana wa miaka 27. Kuna mdada nimemtongoza na katika majadiliano naye akadai tupeane mda wa kuchunguzana ndipo tufikie maamuzi.
Lakini cha ajabu ndani ya siku mbili tangu...
Sasa hivi suala la mabinti wengi kuzaa limekuwa kama mtindo wa kisasa(fashion).
Katika mambo yanayochangia umaskini na kuzorota kwa maadili kwenye jamii ni hili la watoto wengi kutopata malezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.