Kabla hajakuoa ulikuwa hujaliona hilo?
Habari wana jukwaa,,hivi hii tabia ya mwanaume kufanya mambo ya kike kama kucheka kimbea na kupenda kujisheua sheua kama mwanamke inakuwa ni hulka au mtu anakuwa na hormone za kike?maana huwa nashindwa kuwaelewa watu wa hivyo
Jibu toshaVipi na wewe mwanamke kuwa na tabia za kiume kiume
kama kuvaa suruari, kuwa mbabe, kubana mzigo eti haujisikii,
Samahani kwanza !!Habari wana jukwaa,
Hivi hii tabia ya mwanaume kufanya mambo ya kike kama kucheka kimbea na kupenda kujisheua sheua kama mwanamke inakuwa ni hulka au mtu anakuwa na hormone za kike?Maana huwa nashindwa kuwaelewa watu wa hivyo.
ukimuona anapennda mashoga ujuwe nae anatowa.nami nauliza ni kwanini wanawake mnapenda urafiki na watu design hiyo, i. e mashoga
Kama yule mtangazaji wa TV 1 (the clip)
Habari wana jukwaa,