Kwa nini nyuzi zinazoongelea masuala ya michepuko zina wachangiaji wengi

Kaputula La Marx

JF-Expert Member
Mar 28, 2015
562
494
Nimejaribu kupitia nyuzi tofautitofauti zenye kuongelea suala la michepuko na kukuta wachangiaji wengi tofauti nanyuzi zingine katika jukwaaa hili.

Karibuni mchangie sababu zinazopelkea nyuzi hizi kupata wachangiaji wengi.ASANTENI
 
Hata huu ndio hizo hizo... Hizi Huhitajiki kuumiza kichwa mtu anaweza kuchangia bila hata kufikiri mara mbili
 
Kama unadhani watanzania wanapenda ngono hebu Nenda hapo kwa madiba utaniambia
Sijawahi fika S.A Ila nasikia hawa ndugu zetu waxhosa na wazulu huwaambii kitu kwenye hayo mambo labda
it's in their nature
 
Nendeni jaman ila na mifuko yenu iwe sawa imeshiba yalonukuta mimi mwaka jana huko sina hamu bahat nilikata tiket go and return bila hivyo nsingerudi ngeomba kibarua huko huko
 
Back
Top Bottom