arawa
Member
- Apr 23, 2011
- 15
- 19
Mimi ni mtumiaji mzuri wa Mitandao ya kijamii wiki iliyopita niliona application kwenye playstore yangu inaitwa Badoo nikainstall kwenye siku yangu cha kushangaza mtandao huu umejaa wanaume mashoga kila massage niliyokuwa natumiwa wa naomba kutumiwa kinyume na maumbile sikujua kama kuna uchafu wa namna hii kwenye hii Mitandao uchwara.
Tafadhali tuungane pamoja kupinga maadili machafu nchini kwetu
Tafadhali tuungane pamoja kupinga maadili machafu nchini kwetu