Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mimi ni dada wa miaka 38 nina watoto 3 kwenye ndoa nina miaka 13, mume wangu ana umri miaka 52. Mwaka huu mwanzoni nilifuma sms kwenye simu ya mume wangu akijibu sms ya mchepuko. Ni hivi...
3 Reactions
192 Replies
18K Views
Nina nia ya dhati kabisa na ukweli kutoka moyoni mwangu najitokeza hapa kutafuta mwanamke mwenye maambukizi ya virusi vya UKIMWI ili awe mwenza wangu wa maisha na tuishi maisha ya matumaini mimi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Awe mweupe au maji ya kunde.umri kuanzia miaka 17 hadi 25.Mimi ni kijana,nimeajiriwa na pia nimejiajiri.kama una vigezo ni pm.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Sasa ni; Naomba wakuu mnieleweshe kidogo. Japo ni nadra, lakini wapo wanawake wenye ndevu. Hii inasababishwa na hormonal imbalance. Lakini kuna tatizo lolote kuoa mwanamke mwenye ndevu?
0 Reactions
68 Replies
17K Views
Ninaye broo wangu anaishi abroad miaka kadhaa, sio siri anatupiga tafu sana kwenye familia tunamtegemea kiukweli, aliwahi kuoa akiwa kule ulaya na kupata watoto 2 baadae wakaachana na yule mke...
1 Reactions
74 Replies
11K Views
Wanawake mnajifanya mnapenda sana wanaume mwisho wa siku mnaishia kuumizwa. Yaani uhusiano kidogo mtu anakukaa moyoni mpaka basi kila mara kupiga simu mara kuulizia amekula nini kumtambulisha kwa...
2 Reactions
57 Replies
6K Views
Habari za muda huu wadau! Nahisi kama tumeacha na mwanamke wangu. Tumekaa naye kwenye mahusiano kwa miaka 2, dini tofauti! Muda mrefu nimemuambia abadili dini ili tuoane, akakubali shingo upande...
2 Reactions
56 Replies
6K Views
UKIJIHESHIMU UTAHESHIMIKA TU Ili watu wakuheshimu ni lazima wewe mwenyewe kwanza ujiheshimu.Ili ufikie mafanikio makubwa kwenye maisha yako ni lazima ujiheshimu.Lakini watu wengi wamekuwa...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari. Hivi inawezekana na ni sawa kwa wanandoa kukaa kipindi kirefu bila kukutana kimwili? Inafika zaidi ya mwaka na wakiulizwa wanasema hakuna shida!!
0 Reactions
170 Replies
18K Views
Harusi zimekuwa gharama mno vijana tunaogopa kuoa tunapostpone ndoa mpaka wachumba zetu wanatuona wahuni na wanakwenda kuolewa kwingine.Umri unaenda.Viongozi wa dini wakemee swala la sherehe za...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
ile hadithi tamu na ya kusisimua ya 666:nyayo za kuzimu imeishia wp
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wanajamvi,mimi ni kijana wa miaka 21 ninayesoma katika Chuo kikuu cha Dodoma.jambo ambalo limenileta hapa ni kwamba,kwanza kwa dunia ya sasa hivi nimeona kuna malalamiko makubwa ya MTU...
1 Reactions
11 Replies
10K Views
Salam wakuu Tamaa na kupenda vitu vya dezo kwa baadhi ya wanawake zinawaponza. Wewe mwanamke umejiuliza kwa nini unapenda outing na jamaa ambaye si mpenzi ndg au rafiki zaidi ya kujuana tu...
3 Reactions
54 Replies
7K Views
Ikiwa ni siku ya 12 tu tangu mwaka uanze nashukuru nimetimiza moja ya maazimio yangu matatu makubwa niliyoyapanga kwa mwaka 2016, yaani nina furaha sana usiku wa leo, wana MMU wenzangu...
1 Reactions
41 Replies
4K Views
Ndugu wana jamvi mimi ni mtanzania ninayeishi hapa Dar natafuta mwanamke wa kiarabu kama atakuwa tayari ani pm
0 Reactions
27 Replies
6K Views
Wakuu sioni hata haja ya kuwa na hii kitu inaitwa DSTV 1. Kukiwa na mvua au mawingu mazito basi ujue siku hiyo no signal. 2. Toka jana no signal hadi leo sa sita ndo nawasha inakubali 3. Scratch...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Jamani leo nimekutana na huyu mtu wa Harrier si kuwa nime crash nae ni kuwa ameniletea msala barabarani. Ilikuwa hivi niko mandela road alfajiri leo kuna mahali nilikuwa nawahi sasa kufika eneo...
3 Reactions
103 Replies
9K Views
Wadau nawasalim, Kuna mshikaji wangu tulikua tunakaa gheto moja 2005_2007 tuliishi kama ndugu kwa kweli, bahati mbaya 2008 akatangulia mbele za haki. 2010 kuna mdogo wake wa kike aliewahi...
3 Reactions
58 Replies
6K Views
Habari wana JF Hope ni wazima, Kuna msichana mmoja ambae nilidumu nae kama miezi 8 hivi. Baadae tukaachana kwasababu nilipata mchepuko halafu akaja kugundua ikabidi tuachane sasa cha ajabu ni...
1 Reactions
45 Replies
8K Views
Nianze kwa kusema ndoa ni kitu chema na inapaswa kuwa sehemu ya amani na sio maradhi wala vita. Kumekuwa na kitabia kinachokera sana, kila mtu akiona bao hujaoa au kuolewa utasikia unasubiri nini...
9 Reactions
55 Replies
7K Views
Back
Top Bottom