Meya asomesha bure wasichana mabikra, wanaharakati wampinga

Meya asomesha bure wasichana mabikra, wanaharakati wampinga

agristeph

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2013
Posts
214
Reaction score
184
Mayor wa manispaa ya Uthekela hapo South Africa ameanzisha mfuko maalumu wa kuwasomesha bure wasichana mabikra..

Na ili kuendelea kupata sponsorship hiyo kila ukitoka nyumbani likizo lazima upimwe kama bikra bado ipo,kama imepotea tafuta pesa yako mwenyewe ya kujisomesha

Programu hiyo inapingwa vikali na makundi ya kutetea haki za wanawake.

Women’s rights activists in South Africa are enraged by the decision of the mayor of the Uthekela municipality, Dudu Mazibuko, to award girls who are sexually inactive in the region bursary grants to cater for their studies in higher institutions. According to municipality spokesman, Jabulani Mkhonza, the Maiden’s Bursary Awards aims at encouraging girls to focus on their education by desisting from sexual activities, thereby keeping themselves “pure”.

He further stated that to ensure that the 113 girls considered remain worthy of the grant, virginity tests would be administered to them upon their return from every holiday, after which they will be given a certificate (proof) to present to the bursary for renewal of their scholarship. If any of the girls is discovered to have lost her virginity, she ceases to be a recipient of the bursary.

This clause generated criticism from the Department of Women who deem the action a “terrible idea”, ridiculous, invasive and undermining to women’s rights. Sisonke Msimang, an advocacy consultant for the Sonke Gender Justice project, termed it to be an unconstitutional mix of the patriarchal and misogynist problems that were inherent in the society.

The People Opposing Women Abuse (POWA) group observed that the municipality was using taxpayers’ monies to fund a violation of women’s rights. Activist, Jennifer Thorpe, noted that in addition to violating women’s rights, the scholarship was detrimental to the conversation around safe sex, HIV/AIDS, and effective medication and treatment. An area she suggests that the municipality invests in instead of the degrading notion of rewarding girls for maintaining their virginities.

While the Chairman of the Commission for Gender Equality, Mfanozelwe Shozi recognised the good intentions of the Mayor Mazibuko, he also disagrees with tying such a crucial grant to virginity. Many students in South Africa rely on the government to provide them with university grants, as the #FeesMustFall protests popularly demonstrated. Especially those students who come from poor backgrounds.

In linking university scholarships to an unrealistic quest for purity, the grantors set up an extremely problematic dynamic, which at the most basic level, is flat out gender discriminatory.

Virginity tests remain the subject of debate amongst human rights groups and medical experts who argue that they do not form a substantial basis in determining the virginity status of any female. The practice was forbidden in South Africa in 2007, but certain areas and groups continue to disregard the motion. Most virginity tests are carried out without the consent of the girls in various countries around the world, such as Sweden, Egypt, and India. The World Health Organisation continues to advocate for the abolition of the practice worldwide.

Neither Mkhonza nor Mazibuko have been available for comment on the issue since Friday last week.

Chanzo: Women's rights group in South Africa say no to 'earthly rewards' for virgins
 
Mayor wa manispaa ya Uthekela hapo South Africa ameanzisha mfuko maalumu wa kuwasomesha bure wasichana mabikra..

Na ili kuendelea kupata sponsorship hiyo kila ukitoka nyumbani likizo lazima upimwe kama bikra bado ipo,kama imepotea tafuta pesa yako mwenyewe ya kujisomesha

Programu hiyo inapingwa vikali na makundi ya kutetea haki za wanawake.

Women's rights group in South Africa say no to 'earthly rewards' for virgins
Zoezi la kupima linafanyikaje!? Na mpimaji anatakiwa awe na sifa gani na mshahara ni kiasi gani!!??
 
Kuna watu wana akili nyingi sana.

Na wapimwe tu maana hamna namna.
 
Hiyo bikra itakuwa inapimwa kama tezi dume...
 
Kibongo bongo bikra zinahesabika sana ..lakn uku kigoma ndo hakuna kabisa maana vitoto vidogo tu vishazalishwa kila demu mzuri keshazaaaa sa bikra ndo itapatikana.
 
Meya wa mji wa Kwazulu Natal-Afrika Kusini, ameanzisha mfumo mpya wenye utata wa kuwasomesha bure mpaka Chuo Kikuu wasichana wenye Bikra tu.

Unaonaje mfumo huu ukiletwa Tanzania?. [emoji4] [emoji4]

Chanzo: EATV
 
Ukiona embe mbichi wenzio wanaila kwa chumvi wanamume tukiufuta huo msemo wa kibazazi akilini mwetu mbona zitakuwepo tu.Maana tunalalamika waqt baadhi yetu ndo tunazikwanyua.
 
Meya wa mji wa Kwazulu Natal-Afrika Kusini, ameanzisha mfumo mpya wenye utata wa kuwasomesha bure mpaka Chuo Kikuu wasichana wenye Bikra tu.

Unaonaje mfumo huu ukiletwa Tanzania?. [emoji4] [emoji4]

Chanzo: EATV
Mfumo huu ni mzuri sana! Ni vizuri uanzishwe mapema. Japokuwa wafaidika ni watoto ambao kwa sasa wana miaka 0-5.
Kuanzia miaka 6 ni majanga! Kuna MTU alikuwa anafanya utafiti na akawa anawauliza watoto wa SHULE ya msingi wasichana kwa wavulana kama walishawahi kufanya mapenzi! Asilimia 90 ya wasichana walikiri kufanya mapenzi, robo ya hao walikuwa wamefanya ns watoto wenzao na robo tatu walifanya na watu wakubwa wakiwemo ndugu zao.
Kwa upande wa wavulana asilimia 50 walikiri kufanya mapenzi na watoto wenzao, na waliobaki walifanya na wakubwa kuliko wao.
Kama hali iko hivi SHULE ya msingi, huko Sekondari ni majanga! Ndio maana ukiongelea bikira wanaanza kutoa mapovu, na hata hapa utawasikia!
Lakini ukweli unabaki pale pale msichana bikira ana heshima ya pekee!
Mi naona ili kuhamasisha uaminifu ambao ni msingi we familia yenye afya na kisha Taifa lenye afya yafanyike yafuatayo:1. Bikira asome bure hadi chuo kikuu lakini apimwe kila mwanzo wa muhula! Bikira ikitoka na ufadhili uishie hapo!
2. Bikira wapewe kipau mbele kwenye ajira!
3. Bikira wanaohitimu chuo kikuu na vyuo vingine watambuliwe kitaifa kama mashujaa wa Taifa na picha zao ziwekwe kwenye tovuti ya Serikali.
Kwa namna hiyo bila shaka hakuna hata mmoja atakayeishia kuwa single mother! Wote bila shaka wataolewa.
Wale ambao hawana bikira poleni, hatuwalaumu lakini ungeni mkono hoja hii kwa manufaa ya Taifa.
Lakini pia bikira wakubwa japo ni adimu lakini wapo! Ni wachache lakini wapo! I salute them! Songeni mbele! MNA thamani zaidi!
 
ikiletwa hapa utashtuka kuona madent wote wamekua mabikra si unajua tena siku hizi kuna zile bikra za kutengeneza.
 
kweli mkuu
 
Back
Top Bottom