appoh
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 5,194
- 2,110
Haka katabia kwa wanaume wenzangu kupenda bikra ili hali wao wenyewe washatumika si sawa imekabidhiwa haswa wa kijinsia acheni hiki kitabia msiwafanye dada zetu wakose amani
Bikra kutoka ni tendo la kawaida lisilo na maana yoyote ile moyo wa mtu ndio unamaana.
Bikra kutoka ni tendo la kawaida lisilo na maana yoyote ile moyo wa mtu ndio unamaana.